The House of Favourite Newspapers

Nafasi za Kazi Kutoka Gazeti La Risasi Jumatano

0

 

HATUA SAFI GROUP

NAFASI: Madereva bodaboda/Bajaj SIFA: Wawe na leseni zilizo hai, uzoefu wa kazi hiyo, wasio na rekodi ya ajali za barabarani, waaminifu

MAWASILIANO: 0745 086 137 Mwisho wa kutuma maombi ni hadi atakapopatikana ***

 

MTU BINAFSI NAFASI: Dada wa kazi SIFA: Awe na nidhamu, mchapakazi, mwenye kuipenda kazi yake na awe tayari kufanya kazi na kurudi kulala nyumbani kwake. Awe anajua kupika vyakula vyote na awe mkazi wa Wilaya ya Temeke jirani na Kurasini.

MAWASILIANO: 0655 406 445, 0786 509 814 Mwisho wa kutuma maombi ni Septemba 23, mwaka huu.

 

*** MOROGORO SAVING THE POOR ORGANIZATION

NAFASI: Mratibu Miradi SIFA: Awe na Digrii ya Sosholoji, Diploma ya Maendeleo ya Jamii, Uzoefu wa angalau mwaka mmoja, ufahamu wa miradi ya maendeleo, awe na uwezo wa kukusanya data.

MAWASILIANO: ssimon100 @yahoo. com au Executive Director Mosaporg, Lungo Street, Kiwanja Cha Ndege Ward P.O. Box 1509, Morogoro, Tanzania Mwisho wa kutuma maombi ni Septemba 21, 2017 ***

 

SEKTA BINAFSI

NAFASI: Ofisa Masoko SIFA: Diploma ya Masoko na Uhusiano. Kuhakikisha bidhaa zinapata soko na kuuzwa kwa faida, kutafuta wateja wapya na kutambua mahitaji yao.

MAWASILIANO: 0719 152 470 Mwisho wa kutuma maombi ni Septemba 22, mwaka huu.

*** STARSHENI ARTS GROUP

NAFASI: Wasanii wa Tamthiliya. SIFA: Wawe na vipaji vya kuigiza, wenye kupenda kupata maarifa mapya na walio tayari kupewa maelekezo na kuyafuata.

MAWASILIANO: 0652 408 776, 0629 091 208, 0672 039 897 Mwisho wa kutuma maombi ni hadi wapatikane.

*** MTU BINAFSI NAFASI: Mhudumu wa Pub.

SIFA: Awe mchapakazi, mwenye kujipenda, mcheshi na mwenye kuipenda kazi yake. MAWASILIANO: 0769 447 929 Mwisho wa kutuma maombi ni hadi atakapopatikana.

OGOPA MATAPELI: YEYOTE ANAYEKUTAKA UTOE HELA ILI KUPATA KAZI ILIYOTANGAZWA HAPA NI TAPELI, TUTAARIFU ILI TUSHUGHULIKE NAYE.

Leave A Reply