The House of Favourite Newspapers

Nafasi za Kazi Tanzania Agricultural Research Institute (TARI), MSAIDIZI WA HESABU

0

POST MSAIDIZI WA HESABU I (ACCOUNTS ASSISTANT) – 3 POST
POST CATEGORY(S) ACCOUNTING AND AUDITING
EMPLOYER Tanzania Agricultural Research Institute (TARI)
APPLICATION TIMELINE: 2020-05-07 2020-05-21
JOB SUMMARY N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES       i.         Kutunza daftari la fedha la matumizi ya kawaida na maendeleo;

ii.        Kutunza nyaraka za hati za malipo;

iii.        Kuingiza mapato na matumizi kwenye vitabu vya fedha;

iv.        Kuandika taarifa mbalimbali za fedha zilizopokelewa; na

Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi

QUALIFICATION AND EXPERIENCE  Kuajiriwa wenye stashahada ya Uhasibu kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali au Cheti cha ATEC II kinachotolewa na NBAA au sifa nyingine zinazolingana na hizo zinazotambulika na NBAA.

 

i.

REMUNERATION TGS C

>> CLICK HERE TO APPLY <<

Leave A Reply