Nafasi za Masomo Kidato cha Tano St. Marcus HGL, HGK na HKL

Uongozi wa Shule za Shule za St. Marcus zilizopo Iwambi jijini Mbeya unawatangazia nafasi za masomo kwa kidato cha cha tano kwa mwaka wa masomo 2021 kwa combination za HGL, HGK na HKL.

Fomu za kujiunga zinapatikana shuleni St. Marcus, nafasi zilizopo na bweni tu, na ada ani nafuu sana zinalipwa kwa awamu nne.

Kwa mawasialiano piga 0754 691 038, 0758 420 531, 0755 211 507.Tecno


Toa comment