The House of Favourite Newspapers

Namna Ya Kutengeneza Kipato Kwenye Majanga -Video

0

Ni katika kipindi cha Darasa na Mtangazaji Lucas Masungwa pamoja na Mkurugenzi wa Global Group Erick Shigongo Akiwa sambasamba na mnenaji Maarufu Nchini Rodrick wakizungumzia namna yakutengeneza kipato kwenye kipindi cha majanga kama ilivyo katika janga la Corona.

 

“Ili mtu afanikiwe unahitaji fedha, watu, lakini unahitaji wazo. Bahati mbaya sana unapowaza vitu vyote vitatu haviwezi kuwepo,”

“Acha kuangalia ulichopungukiwa, anza na ulichonacho. Kila tatizo ni pesa. Angalia matatizo yaliyo katika jamii yako ugeuze kuwa fursa,” – ERIC SHIGONGO

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply