The House of Favourite Newspapers

Nandy: Hiini Zawadi kwa JPM

MWANADADA anayefanya poa zaidi kunako Bongo Flevani, Faustina Charles ‘Nandy’ amesema kuwa video ya wimbo wake mpya wa Magufuli Tena ni zawadi kwa Rais Dk John Pombe Magufuli ‘JPM’.

 

Nandy am-eiya-mbia Over Ze Wee-kend kuwa, wim-bo huo unaelezea kwa kina hatua za maend-eleo ya Tanzania na ucha-pakazi wa JPM.

 

“Wi-mbo wa Magufuli Tena ni remix ya wimbo wangu wa Ninongeshe uliotoka 2018 ambao ni zawadi kwa Rais Magufuli kwa maendeleo aliyoiletea Tanzania kwa miaka minne,” alisema Nandy.

 

Nandy ni msanii wa pili kui-mba wi-mbo wa kusifia uten-daji kazi wa JPM baada ya Harm-onize kufanya hivyo kwenye wimbo wake uitwao Magufuli.

MEMORISE RICHARD

Comments are closed.