The House of Favourite Newspapers

NAPE: TUNABEMBELEZANA SANA/ KIBURI KIMEZIDI – VIDEO

Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye amehoji kwa nini Serikali inakuja na maamuzi yake ambayo masuala yakifika bungeni wabunge hawawezi kubadili kitu.

 

Nape amehoji hayo leo Mei 2, 2019 bungeni jijini Dodoma wakati akichangia mapendekezo ya wizara ya maji na kuitaka Serikali kushirikiana na wabunge katika kuboresha mfuko wa maji ili vijiji viweze kupata maji.

 

Comments are closed.