The House of Favourite Newspapers

Navy Kenzo wapewa kuwa mabalozi wa Klobaa App ya Marekani

0

MWENDOKASI (6) MWENDOKASI (4) MWENDOKASI (2)

Navy Kenzo wakizungumza na wanahabari jana jijini Dar.

MWENDOKASI (1)

DILI NONO! Ndivyo tunavyoweza kusema, ni baada ya kundi la muziki wa kizazi kipya la Navy Kenzo linaloundwa na wakali wawili ambao pia ni wapenzi, Aika na Nahreel kuingia mkataba wa kuwa mabalozi wa Klobaa App ya nchini Marekani.

App hiyo ya simu za mkononi inatarajiwa kuzinduliwa leo Jumamosi kwenye Tamasha la ‘Mwendokasi Festival’ litakalofanyika viwanja vya Posta Kijitonyama.

App hiyo ni mara ya kwanza kuingia Afrika na inazinduliwa kwa mara ya kwanza nchini Tanzania na kazi yake kubwa ni kuwaunganisha watu kutoka sehemu mbalimbali na kutoa huduma kama malipo kwa njia ya mtandao.

Navy Kenzo wakizungumzia kuwa mabalozi wa Klobaa App

Leave A Reply