The House of Favourite Newspapers

Nbc Yaandaa Chakula cha Jioni Kwa Ajili ya Wateja Wake,Wajadili Matarajio ya Mbele

0
BENKI ya NBC yaandaa Chakula cha Jioni kwaajili ya wateja wake katika hoteli ya Hyatt  Regancy  the Kilimanjaro jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki kwajili ya kujadili matarajio ya siku zijazo.
Katika Chakula hicho cha jioni kuliundwa jukwaa la benki hiyo kwaaajili ya Kubadilishana mawazo na kujadiliana na wateja wake changamoto zinazowakabili.
Mkurugenzi Mkuu wa NBC Tanzania, Theobald Sabi (wa pili kulia) akiwa pamoja na viongozi mbalimbali pamoja na wateja.
Hata hivyo waliangalia  malengo yajayo benki hiyo baada ya kudorora kwa biashara kwa miaka miwili  kutokana na janga la Covid-19.
Mkurugenzi Mkuu wa NBC Tanzania, Theobald Sabi akiongozana na  Mtendaji Mkuu wa Uendeshaji wa ABSA Kanda iliwakaribisha watendaji wakuu wa biashara kutoka viwanda 50 nchini kwa lengo la kufungua fursa za biashara katika soko la Afrika.
Mkurugenzi Mkuu wa NBC Tanzania, Theobald Sabi (katikati) akiwa katika picha ya pamoja.
Leave A Reply