The House of Favourite Newspapers

Ndege ya Namibia Yazuiliwa Afrika Kusini

MAMLAKA ya Usimamizi wa Viwanja vya Ndege nchini Afrika Kusini juzi iliizuia ndege ya Namibia kutokana na kutolipa ankara za matumizi ya viwanja, na huduma kwa wateja wake lakini baadaye Shirika la Ndege la Namibia lililipa sehemu ya malimbikizo hayo na kuruhusiwa kuendelea kutoa huduma.

Comments are closed.