The House of Favourite Newspapers

Pretty Kind Aachia Video Mpya ya Hawakujua

0


Mwimbaji wa Gospel na muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Suzan Michael maarufu kama Pretty Kind amesema anawakaribisha mashabiki wake wote kusikiliza wimbo wake mpya wa Gospo unaokwenda kwa jina la Hawakujua.

.
Pretty Kind amesema; “Bwana Yesu asifiwe, ninaitwa Pretty Kind, mpendwa ninakukaribisha kutazama wimbo wangu mpya wa Hawakujua.

“Ninakuomba pia sambaza kwa wengine wimbo huu ufanyike kuwa baraka kwao kwa jina la Yesu.
Usisahau ku-Share, ku-Like, ku-Comment na ku-Subscribe chaneli yangu.
Mungu Akubariki Sana!”

Leave A Reply