The House of Favourite Newspapers

Ne-Yo kufunga ndoa Jumamosi hii

0

neyo-620x400

MKALI wa muziki wa R&B duniani, Ne-Yo anatarajiwa kufunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu, Crystal Renay, Jumamosi hii.

1280_ne_yo_crystal_renay_getty

Ne-Yo atafunga ndoa mbele ya marafiki zake na familia yake eneo linaloitwa Terranea Resort lililopo Rancho Palos Verdes karibu na Los Angeles, marekani.

Kwa sasa mkeo huyo ana ujauzito wa miezi tisa huku Ne-Yo akiwa na watoto wawili aliozaa nje ya mchumba wake huyo. Watoto hao ni Madilyn Grace (5) na Mason Evan (4).

 

Imeandaliwa na Andrew Carlos/GPL

 

 

Leave A Reply