The House of Favourite Newspapers

NECTA: MITIHANI YA KIDATO CHA SITA NA UALIMU KUANZA KESHO -Video

Katibu Mtendaji wa Balaza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Dkt. Charles E. Msonde.

 

KATIBU MTENDAJI wa Balaza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Dkt. Charles E. Msonde leo ameongea na wanahabari  jijini Dar es Salaam na kusema mitiani ya kidato cha sita (ACSEE) na Ualimu itafanyika tarehe 7 hadi 25 Mei 2018 katika jumla ya Shule za Sekondari 674, Vituo vya Watahiniwa wa Kujitegemea 231 na Vyuo vya Ualimu 125 Tanzania Bara na Zanzibar.

Comments are closed.