New Video: Matonya – Hakijaeleweka
MKALI wa Bongo Fleva kutoka Tanga ‘mapenzi yalikozalia’, Seif Shaaban maarufu kama Matonya ameachia video ya ngoma yake mpya wimbo unaitwa ‘Hakijaeleweka‘, humo ndani ameonekana mrembo Gigy Money, Video imeongozwa na Tone Blaze.
Comments are closed.