The House of Favourite Newspapers

Ngalya: Hivi Chadema Mtahesabu Kura Zipi – Video

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimezindua kampeni zake za uchanguzi mdogo wa udiwani katika Kata ya Kizota Jijini Dodoma, baada ya aliyekuwa Diwani wake kujiuzulu na kuhamia CCM.

 

Akijinadi mbele ya mamia ya wakazi wa kati hiyo, Mgombea Udiwani wa chama hicho, Jamar Ngalya amewashangaa wabunge wa Chadema waliyosema kuwa watakwenda kuhesabu kura katika kata hiyo siku ya uchagu huku akiwapiga dongo kwamba ni kura zipi watakazohesabau ilihali anauhakika kwamba atashinda kwa asilimia 100.

MSIKIE HAPA AKIFUNGUKA

Comments are closed.