The House of Favourite Newspapers

BEKA: Yamoto Band Kulikuwa Motoni Sasa Nipo Peponi! – Video

Moja kati ya wasanii waliokuwa wakiunda kundi la Yamoto Band ni, BEKA Flavour, ambaye kwa sasa anafanya kazi kama Solo Artist huku ngoma zake zote zikiwa zinaandaliwa na Prodyuza Maxmizer.

 

Katika Birthday ya Maxmizer iliyofanyika usiku wa Septemba 01, Beka Flavour amesema anamheshimu sana Maxmizer kwa sababu ndiye mtu pekee aliyemfanya asikike tena baada ya kutoka Motoni (Yamoto Band) ambapo kwa sasa anatamba sokoni na ngoma kibao kama vile Sikinai, Libebe, Sarafina, Siachani Nae, Kibenteni na nyingine nyingi.

BEKA Asema Yamoto Band Kulikuwa Motoni Sasa Yuko Peponi!

Comments are closed.