The House of Favourite Newspapers

Nicki Minaj Kuanzia Sasa Yuko Tayari Kuolewa

RAPA wa kike kutoka pande za Marekani, Nicki Minaj kuanzia sasa yuko tayari kusema “I do”

Kwenye usiku wa kuzindua wa bidhaa zake za Fendi Prints, rapa  huyo mwenye miaka 36 alisema anachosubiri ni Pastor wake anaemkubali kurudi ili afunge ndoa na mpenzi wake Keneth Petty.

Alifunguka pia shahuku yake ya kupata mtoto japo bado hawajakaa na kukubaliana na Keneth.

Comments are closed.