The House of Favourite Newspapers

Nmb Yashiriki Kilele Cha Wiki ya Sheria Dodoma

0
Meneja wa Kanda ya Kati NMB, Nsolo Mlozi (kulia) akisalimiana na Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Prof. Edward Hosea
Meneja wa Kanda ya Kati NMB, Nsolo Mlozi (kulia) akisalimiana na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi

 

Benki ya NMB imeshiriki kilele cha wiki ya Sheria nchini iliyomalizika leo jijini Dodoma ambapo katika kilele hicho kimehitimishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambapo alikuwa mgeni ramsi.

 

Leave A Reply