The House of Favourite Newspapers

NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO MAGOMENI DAR

Muonekano wa ndani baada ya nyumba hiyo kuteketea maeneo ya Magomeni Kagera Jijini Dar es salaam mchana wa leo.

Ajali ya Moto imetekeza nyumba iliyopo Magomeni Kagera mtaa wa Texas Jijini Dar es salaam Mchana wa leo.

Muonekano wa nguo katika moja ya chumba kilichotekea kwa moto.

Chanzo cha moto huo kinasemekana kuwa kimesababishwa na sigara ya mpangaji mmoja aliyevuta na kuitupa, kitengo cha Zimamoto kilifika na kuzima moto huo. Hakuna kilichookolewa kutoka ndani ya nyumba.

Wananchi wakifanya mahojiano na Global Tv Online.

Global Tv walifika eneo la tukio na kukuta moto ukiwa ushazimwa na wananchi wakiendelea kushangaa klichotokea kwenye hiyo nyumba ambapo walipata fursa ya kufanya mahojiano.

Kuangalia mahojiano

Wananchi wakiendelea kuokoa baadhi ya Mali.

PICHA NA KAMONGA NA ANANIAS EDGAR – GLOBAL TV

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Comments are closed.