The House of Favourite Newspapers

Odama: Ikinipendeza Nitazaa Tena Baada Ya Miaka Saba

0

 

Jennifer Kyaka ‘Odama’

MUIGIZAJI mahiri kwenye tasnia ya filamu, Jennifer Kyaka ‘Odama’ ameibuka na kusema kuwa kama itampendeza ataongeza mtoto mwingine baada ya miaka saba.

 

Akizungumza na Risasi Jumamosi Odama alisema kwa hivi sasa vyuma vimekaza hivyo lazima kuzaa kwa mpangilio ili watoto wapate elimu bora na malezi mazuri.

 

“Kwa kweli mimi ikinipendeza nitaongeza mtoto baada ya miaka saba maana maisha ya sasa ni kujipanga sana,” alisema Odama.

Leave A Reply