×

Breaking News: Rais wa Zamani wa Kenya Mwai Kibaki Afariki Dunia Akiwa na Umri wa Miaka 90

Aliyekuwa Rais wa Kenya Mwai Kibaki amefariki Dunia Leo Aprili 22, 2022 akiwa na umri wa miaka 90. Kibaki alikuwa...

READ MORE

Ndege Yaanguka Barabarani na Kuuwa Watu Sita Mji Mkuu wa Haiti, Port-au-Prince

Ndege ndogo imeanguka kwenye barabara kuu katika mji mkuu wa Haiti, Port-au-Prince na kusababisha vifo vya takriban watu sita. Ndege...

READ MORE

Kaizer Chiefs Yatangaza Rasmi Kuachana na Kocha wake Mkuu Stuart Baxter

KLABU ya Kaizer Chiefs na Kocha Stuart Baxter wamefikia makubaliano ya pamoja ya kuvunja mkataba wa kocha huyo aiyerudi kuifundisha...

READ MORE

Nafasi ya Kazi Vodacom Tanzania, Manager: Cyber Prevent & Demand

Manager: Cyber Prevent & Demand Job Description Role Purpose This role is responsible for effective planning and execution of Cyber...

READ MORE

TRA Yatoa Ufafanuzi Baada ya Kukutana na Timu ya Wataalam wa Kampuni ya META

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kupitia kwa Mkurugenzi wake wa huduma na elimu kwa mlipa kodi, Richard Kayombo imetoa ufafanuzi...

READ MORE

Neymar Afunguka Anavyofurahia Penzi la Mpenzi Wake Mpya Bruna Biancardi

SUPASTAA wa soka, Mbrazili, Neymar Jr, amefunguka jinsi anavyompenda mpenzi wake mpya, Bruna Biancardi, walipokuwa wakisherehekea bethdei ya mrembo huyo...

READ MORE

Kiungo Mrundi Amchambua Fei Toto wa Yanga, Atamani Kucheza Pamoja

KIUNGO mkabaji wa Kiyovu ya Rwanda, Mrundi, Ismail Nshimiyimana ‘Pitchou’, amefunguka kuwa, haitakuwa shida kwake kama ikitokea anapata nafasi ya...

READ MORE

Rais Samia Azindua kwa Mara ya Pili Filamu ya The Royal Tour Jijini Los Angeles

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uzinduzi mwingine wa awamu ya pili wa filamu ya...

READ MORE

Sahau Kuhusu Mswaki, Tafiti Zinadai Kubusiana Mara 4 kwa Siku Kunadumisha Afya

DAKTARI bingwa wa meno kutoka nchini Uingereza anasema watu wanapaswa kubusiana dakika 4 kwa siku ili kudumisha afya ya meno,...

READ MORE

Aweso Awasimamisha Kazi Wanne Bwawa la Milioni 600 Handeni

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amefanya kikao na wadau wa Sekta ya Maji wa Handeni na kuelekeza hatua...

READ MORE

Picha za Satelaiti Zaonesha Makaburi ya Halaiki Yaliyochimbwa Mariupol

“Makaburi ya pamoja ya wakazi wa Mariupol yanadaiwa  kuwa waliouawa na jeshi la Urusi yanafanyika katika kijiji kilicho karibu na...

READ MORE

Klabu ya Simba Yaanza Safari Kwenda Afrika Kusini, Pambano Kupigwa Jumapili

KLABU ya Soka ya Simba imeanza safari Alfajiri ya leo ijumaa 22, 2022 kuelekea nchini Afrika Kusini ambako itakwenda kucheza...

READ MORE

Vivo Y01 Yazinduliwa Nchini Tanzania

Dar es Salaam. Tarehe 22 Aprili, 2022. Kampuni inayoongoza kwa utoaji wa huduma za  kidijitali nchini, Tigo Tanzania, imeshirikiana na...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Ijumaa, Aprili 22, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Aprili 22, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Mbunifu wa Kuyeyusha Chuma Asiyejua Kusoma na Kuandika Aomba Kupelekwa China

  REUBEN Mtitu maarufu kwa jina la Mzee Kisangani ambaye ni mbunifu wa kuyeyusha chuma katika eneo la Mkiu wilaya...

READ MORE

Viongozi Waandamizi wa Vodacom Wamtembelea Mkuu wa Mkoa Dodoma

Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Antony Mtaka, akisalimiana na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Rosalynn Mworia,...

READ MORE

Mzee Wa Miaka 83 Apata Mtoto Wa Kwanza, Miaka 57 Ya Ndoa

Josiah Mwesigye mwenye miaka 83, raia wa Uganda amefanikiwa kupata mtoto wake wa kwanza baada ya kutafuta mtoto bila mafanikio...

READ MORE

Spika Tulia Amtwisha Mzigo Waziri Mkuu, Amtaka Atatue Mzozo wa Bodaboda na Bajaji

  SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Akson amemtaka Mtendaji Mkuu wa shughuli za Serikali...

READ MORE

Lewis Hamilton na Serena Williams Waungana Kuinunua Klabu ya Chelsea

BINGWA wa Dunia mara saba katika mashindano ya uendeshaji wa magari ya Langalanga maarufu kama Formula 1 Sir Lewis Hamilton...

READ MORE