×

Rais Samia Atoa Pole Kwa Spika wa Bunge Kufuatia Kifo Cha Mbunge Irene Ndyamkama

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kwa Spika...

READ MORE

Yanga Princess Yapata Ushindi wa 1-0 Dhidi ya Simba Queens Katika Ligi Kuu ya Wanawake

Klabu ya Wanawake ya Yanga imepata ushindi wa 1-0 dhidi ya Simba Queens katika Ligi kuu ya Wanawake Tanzania. Huu...

READ MORE

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Aanza Ziara ya Kikazi Mkuranga Pwani -Video

Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndg Abdulrahman Omar Kinana amepokelewa wilaya ya Mkuranga leo tarehe 24 Aprili, 2022 kwa...

READ MORE

Mbunge wa CCM Rukwa Ndyamkama Afariki Hospitali ya Tumbi, Spika Athibitisha

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dkt.Tulia Ackson ametangaza kifo cha Irene Alex Ndyamkama ambaye alikuwa Mbunge...

READ MORE

Wakiivaa Orlando Pirates Leo… Simba Yapangua Fitna Zote za Wapinzani Afrika Kusini

KUELEKEA mchezo wa mkondo wa pili wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya wenyeji Orlando Pirates dhidi...

READ MORE

Kinana Aipongeza Silent Ocean kwa Kufungua Tawi Marekani

MAKAMU wa Mwenyekiti wa ChamaCha Mapinduzi (CCM) Taifa, Abdulrahman Kinana, amewataka wafanyabiashara kuorodhesha changamoto zinazowakabili na kumfikishia ofisini kwake ifikapo...

READ MORE

Exim Yafuturisha Wateja Wake Tanga

IKIWA ni muendelezo wa utaratibu wake wa kuandaa futari kwa ajili ya wateja na wadau wake katika mikoa mbalimbali nchini...

READ MORE

Mtangazaji wa Wasafi FM Diva na Mumewake Apata Ajali ya Gari Usiku wa Kuamkia Leo

MTANGAZAJI wa Wasafi FM, Diva amepata ajali ya gari usiku wa kuamkia leo Aprili 24,2022 akiwa na mumewake, Sheikh Abdulrazak...

READ MORE

Wafaransa Wapiga Kura Katika Duru ya Pili ya Urais Kati ya Macron na Marine Le Pen

Raia wa Ufaransa leo Jumapili Aprili 24, 2022 wamepiga kura katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais. Rais aliye...

READ MORE

Nafasi za Kazi 7 Tanzania Standard Newspapers Ltd (TSN), Assistant Printer

POST ASSISTANT PRINTER II – 7 POST POST CATEGORY(S) CREATIVE AND DESIGN EMPLOYER Tanzania Standard Newspapers Ltd (TSN) APPLICATION TIMELINE:...

READ MORE

Bocco Amepona Majeraha Arudi Kuwavaa Orlando Pirates ya Nchini Afrika Kusini Leo

HABARI njema kwa mashabiki wa Simba kuwa nahodha na mshambuliaji wao, John Bocco amepona majeraha yake ya enka na huenda...

READ MORE

Harmonize Akiri Kajala Masanja Kumfanya Ashinde na Kukesha GYM Akifanya Mazoezi

Harmonize au Konde Boy Mjeshi; ni supastaa wa Bongo Fleva ambaye anakiri kwamba inapotokea mhuni akampenda mwanamke mrembo, basi ni...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

JIpatie nakala ya Gazeti la Spoti Xtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS...

READ MORE

HADITHI YA KUSISIMUA: THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 4

MTUNZI: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 ILIPOISHIA: Nikiwa sielewi hili wala lile, nilimuona mmoja kati yao akirudi pale kwenye pikipiki, nikamuona...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumapili, Aprili 24, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Aprili 24, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Kampuni ya Betpawa Yamwaga Mamilioni, Mkazi wa Ruvuma Alamba Bingo

    FRED ambaye Mkazi wa Ruvuma amejishindia Sh 50Mil kutoka Kampuni ya Michezo ya Kubashiri ya BetPawa baada ya...

READ MORE

Biharusi Aliyewawekea Wageni Bangi Kwenye Chakula Akamatwa

DANYA SVOBODA ni bibi harusi ambaye yeye na mhudumu wake, Joycelyn Bryan wamekamatwa na Polisi huko Florida nchini Marekani baada...

READ MORE

Gwajima Azuru Kaburi la Mtoto Aliyeuawa kwa Kipigo na Kumwagiwa Maji ya Moto

WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima amezuru na kusali katika kaburi la mtoto...

READ MORE

Mwanafunzi wa Zambia Akamatwa Urusi kwa Kucheza Muziki Makaburini

WIZARA ya mambo ya nje ya Zambia, imethibitisha kuwa mwanafunzi wa Zambia anayesoma nchini Urusi amekamatwa Jumapili iliyopita kwa kucheza...

READ MORE

Usiku wa Leo Kugeuka Kuwa Usiku wa Historia, ni Fury vs Whyte Kuzichapa

USIKU wa leo, April 23, 2022 zitapigwa ngumi kali za uzito wa juu (heavy weight) kati ya miamba miwili, Tyson...

READ MORE