×

Yanga Yakubali Kuishangilia Simba Uwanja wa Mkapa leo Dhidi ya Orlando

UONGOZI wa Klabu ya Yanga, umesema leo Jumapili utakuwepo kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, kwa ajili ya kuisapoti Simba itakapokuwa...

READ MORE

Morrison Aonywa Kuhusu VAR Uwanja wa Mkapa, Dar Leo Dhidi ya Orlando Pirates

KUFUATIA kutumika kwa mara ya kwanza mfumo wa video wa kumsaidia mwamuzi (VAR) hapa Tanzania katika mchezo wao wa leo...

READ MORE

Serikali ya Zanzibar Kufanya Uchunguzi Madai ya Mtalii Anayedai Kudhalilishwa Kingono

  Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kupitia kamisheni ya utalii, imesema uchunguzi wa madai ya mtalii kutoka Nigeria, Zainab Oladehinde anayedai...

READ MORE

Nafasi Ya Kazi ICAP, Site Support Officer (Multiple Positions), Application Close: Apr 25 2022

Site Support Officer (multiple positions) Job no: 495670 Position type: Regular Full-Time Location: Tanzania – Mwanza Division/Equivalent: Tanzania School/Unit: Implementation...

READ MORE

Rais Samia Azungumza na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa New York Marekani

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Aprili 17, 2022 amefanya mazungumzo na  Naibu Katibu...

READ MORE

Sakho Aipa Jeuri Simba Dhidi ya Orlando Pirates Kombe la Shirikisho Leo Kwa Mkapa

MWENYEKITI wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu, ameweka wazi kuwa, kikosi hicho kitaibuka na ushindi katika mchezo wao wa leo...

READ MORE

Makamu wa Rais na Mkewe Washiriki Ibada ya Pasaka Katika Kanisa Katoliki Maria Theresa

Leo Aprili 17, 2022 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango na mke wake,...

READ MORE

Vikosi vya Ukraine Mji wa Mauripol Vyatakiwa na Urusi Kujisalimisha Leo

Urusi imesema kuwa itahakikisha kunakuwa na usalama wa maisha ya wanajeshi wa Ukraine katika Mariupol wanaojisalimisha watakaojisalimisha katika kipindi cha...

READ MORE

Kijana Kutoka Congo Ang’ara Mashindano Makubwa Zaidi Ya Qur’an Afrika 2022 – Video

Thiame Bouna kutoka Congo Brazaville, ameibuka mshindi katika mashindano makubwa zaidi barani Afrika ya kusoma na kuhifadhi Quran Tukufu yaliyofanyika...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumapili, Aprili 17, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Aprili 17, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

JIpatie nakala ya Gazeti la Spoti Xtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS...

READ MORE

Rais Samia Amlilia Maunda Zorro, Atuma Salamu za Rambirambi Kutokea Marekani

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ambaye yupo nchini Marekani katika ziara yake ya kikazi ametuma...

READ MORE

Spika Dkt. Tulia Awataka Wananchi Chunya Kuiunga Mkono Serikali ya Rais Samia

  SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackaon (Mb), amewataka Wananchi kuendelea kuiunga mkono...

READ MORE

Mbunge wa Buchosa Ashiriki Mazishi ya Maunda Zorro, Awapa Pole Familia – VIDEO

Maelfu ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wamejitokeza kwa wingi katika kuusindikiza mwili wa aliyekuwa msanii hapa nchini...

READ MORE

UN Yapinga Mpango wa Uingereza Kupeleka Wakimbizi Nchini Rwanda

UMOJA wa Mataifa kupitia kwa Naibu Katibu Mkuu wake Gillian Triggs umesema mpango wa kuwapeleka wahamiaji haramu nchini Rwanda kutoka...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson Apigwa Marufuku Kuingia Urusi

KWA mara ya kwanza tangu vita kati ya Urusi na Ukraine ianze Urusi imetamka rasmi kupitia kwa Waziri wake wa...

READ MORE

Pablo, Kapombe Wadai Orlando Anakufa, Mashabiki Wajae kwa Mkapa

KOCHA wa Klabu ya soka ya Simba Pablo Franco Martin amesema kwa upande wao kama timu wapo vizuri kuanzia benchi...

READ MORE

Esma: Harmonize ni Mtu Wetu na familia ya Wasafi Inafurahia Mafanikio yake

ESMA Khan au Esma Platnumz; ni dada wa staa wa muziki nchini Tanzania, Diamond Platnumz ambaye anasema kuwa, hakuna uhasama...

READ MORE

Urusi Yatoa Onyo Kali kwa Marekani Kuacha Kuipatia Misaada ya Kivita Ukraine

URUSI  imeionya Marekani na mataifa mengine washirika wengine kuacha mara moja kusambaza silaha kwa Ukraine.   Onyo hilo lilikuja katika...

READ MORE

Mfungwa wa Kifungo cha Maisha Apewa Siku 15 Uraiani Ampatie Mimba Mke wake

  MWANAMKE anayefahamika kwa jina la Rekha ameenda kuililia mahakama ya Rajasthan nchini India akitaka apewe mimba na mume wake...

READ MORE