×

Samia akutana Live na kijana Emmanuel, aomba apishwe wazungumze – Video

Rais Samia Suluhu ametembelea Shule ya Sekondari Benjamin Mkapa leo ambapo akiwa Shuleni hapo ametimiza ahadi ya kukutana na Mwanafunzi...

READ MORE

Pablo aanza na upepo kwa mastaa Simba

Kuelekea mchezo wao wa Jumapili hii dhidi ya RS Berkane ya Morocco kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, Kocha Mkuu wa...

READ MORE

Lulu Diva Anataka Ndoa, Mtoto

BAADA ya kumpoteza mama yake mzazi miezi michache iliyopita, mrembo kutoka kiwanda cha Bongo Fleva, Lulu Diva amefunguka kuwa, anaomba...

READ MORE

Shigongo Atuma Salamu, Wapigaji Fedha Za Rais Samia-Video

MBUNGE wa Jimbo la Buchosa Eric Shigongo ametembelea zahanati na shule zinazoendelea kujengwa katika jimbo hilo ambapo ametoa salamu kwa...

READ MORE

Bilionea Mturuki Anaitaka Chelsea

MFANYABIASHARA na bilionea kutoka Uturuki, Muhsin Bayrak, amepokea ofa ya kutaka kuinunua Klabu ya Chelsea na muda wowote atatua London...

READ MORE

Rais Samia Atembelea Shule Ya Benjamini Mkapa – Dar es salaam-Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametembelea Shule ya Sekondari Benjamini Mkapa, Kariakoo Jijini Dar es...

READ MORE

Ukatili; Raia Wanaokimbia Vita Wapigwa Mabomu Ukraine

TUHUMA kuhusu majeshi ya Urusi kuwashambulia raia wa Ukraine zinazidi kuongezeka ambapo katika matukio ya hapo jana, raia wanaokadiriwa kufikia...

READ MORE

Ukraine: Rais Zelensky Ahimiza Vikwazo Zaidi Dhidi Ya Urusi

RAIS wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ametoa wito kwa mataifa ya Magharibi kuimarisha vikwazo dhidi ya Urusi, akikosoa viongozi kwa kutojibu...

READ MORE

Fury Ampa Tano Wladimir Klitschko

STAA wa uzito wa juu duniani, Tyson Fury, amewaunga mkono mabondia wa Ukraine, Wladimir Klitschko na Vitali Klitschko kwa kitendo...

READ MORE

Serikali Inatambua Mchango wa Chuo Cha IAA Kuendeleza Michezo

  Serikali inatambua na kuthamini mchango unaotolewa na Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) katika kuendeleza na kuimarisha sekta ya michezo...

READ MORE

Wiki ya Wanawake Kimataifa, Vodacom Yahamasisha Wasichana Kujifunza Tehama

  Wanafunzi wa kike kutoka shule mbalimbali za sekondari nchini wakionesha jinsi ya kutengeneza tovuti baada ya kupata mafunzo ya...

READ MORE

Chama Anatisha

UNAWEZA kusema Clatous Chota Chama anaendelea pale alipoishia kutokana na yale anayoyafanya ndani ya uwanja akiwa na jezi ya Simba...

READ MORE

Mbowe Afunguka Mazito, Nguvu Ya Umma Imenitoa Gerezani-Video

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…...

READ MORE

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Jumatatu, Machi 7, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Machi 7, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazet la Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania...

READ MORE

Halotel Yasherekea Siku ya Mwanamke Duniani Kivingine

  Kampuni ya Mawasiliano ya Simu ya Halotel ikiwa ni sehemu ya jamii ya Tanzania inaendelea kujali na kuchangia katika...

READ MORE

Waziri Mkuu Aongoza Kikao Cha Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 6 , 2022 ameongoza kikao cha Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa kilichofanyika kwenye...

READ MORE

Naibu Waziri wa Ulinzi wa Belarus Ajiuzulu

Naibu Waziri wa Ulinzi wa Belarus ambaye pia ni mwanajeshi mwenye cheo cha Meja Jenerali, Viktor Gulevich ameandika barua ya...

READ MORE

Majaliwa Akutana na Rais Mstaafu Karume

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekututana na Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Amani Abeid Karume, alipomtembelea nyumbani kwake,...

READ MORE

Msuluhishi wa Ukraine Kwenye Mzozo wa Kivita Auawa

Msuluhishi wa Ukraine kwenye mzozo wa kivita dhidi ya Urusi ameuawa na baada ya maafisa usalama wa Ukraine kugundua kuwa...

READ MORE