×

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazet la Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania...

READ MORE

SBL na WaterAid Wazindua Mradi Mpya wa Maji Safi na Salama Bassotu

    BASSOTU, Hanang. Zaidi ya wanakijiji 4000 wa Bassotu na jirani wilaya ya Hanang mkoani Manyara wamenufaika na mradi...

READ MORE

Klabu ya Yanga Yatinga Nusu Fainali Ya Kombe la FA Baada ya Kuichapa Geita kwa Penati

KLABU ya Soka ya Yanga imefanikiwa kutinga katika hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho maarufu kama FA kwa...

READ MORE

Ronaldo Aomba Msamaha Kwa Kuipiga Chini Simu ya Shabiki, Polisi Wafunguka

Polisi nchini Uingereza wanachunguza madai ya shambulio baada ya staa wa Manchester United Cristiano Ronaldo kuonekana akivunja simu ya shabiki...

READ MORE

Rais Samia Awaapisha Mabalozi Wanne Ikulu Dar es Salaam, Awapangia Vituo vya Kazi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan Leo Aprili 10, 2022 amewaapisha mabalozi wanne Ikulu Jijini Dar...

READ MORE

Kinana Atangaza Ziara Mikoa 11, Kuanza na Pwani, Tanga, Kilimanjaro na Arusha -Video

MAKAMU Mwenyekiti mpya wa CCM, Abdulrahman Kinana, ametangaza ziara ya kichama ya mikoa minne atakayoifanya hivi karibuni.   Kinana ametangaza...

READ MORE

Musukuma Achafukwa! Ishu Ya Mradi wa Mwl. Nyerere, Amvaa Mpina – “Tusimvuruge Rais” – Video

Baada ya Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuzua mijadala kufuatia kauli yake juu ya Waziri wa Nishati na Madibni, Mhe....

READ MORE

Yanga Wanataka Yote Kwa Mpigo, Leo Jumapili Kukipiga Dhidi ya Geita Kombe la Shirikiso

UONGOZI wa Yanga SC, umefunguka kuwa, unayahitaji makombe yote wanayoshiriki msimu huu ambayo ni Ligi Kuu Bara pamoja na Kombe...

READ MORE

Kocha Simba Awafungia Kazi Kagere, Mugalu Kucheza na Polisi Tanzania Moshi Leo

SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba, amesema wanayafanyia kazi makosa ya wachezaji wao ikiwa ni pamoja na tatizo la umaliziaji...

READ MORE

Brazil Wamtega Guardiola kwa Sh Bilioni 30 Kuifundisha Timu ya Taifa, Yupo Man City Hadi 2023

IMERIPOTIWA kuwa Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola, amepewa ofa ya mshahara wa pauni milioni 10 kwa mwaka (Sh bilioni...

READ MORE

Nafasi za Kazi 45 kwa Madereva Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Fungua Hapa

POST DRIVER II. – 45 POST POST CATEGORY(S) DRIVER’S EMPLOYER Tanzania Revenue Authority (TRA) APPLICATION TIMELINE: 2022-04-09 2022-04-23 JOB SUMMARY...

READ MORE

Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara jijini Dar leo (Picha +Video)

MAKAMU Mwenyekiti mpya wa CCM, Abdulrahman Kinana, amepokelewa kwa shangwe leo Aprili 10, katika ukumbi wa Diamond Jubilee, ikiwa ni...

READ MORE

Exclusive Video: Ibraah Afunguka Kuimba Wimbo Wa Diamond, Mahusiano Yake na Odemba, Bango la Kajala

Msanii kutoka Konde Gang, Ibraah ameefanya mahojiano maalum na Global TV Online, ameeleza mengi ikiwemo kuimba wimbo wa Diamond, kumsaidia...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan Aondolewa Madarakani, Alikuwa Anaipinga Marekani

Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan ameondolewa mamlakani baada ya bunge kupiga kura ya kutokuwa na imani naye. Washirika wake...

READ MORE

Video: Daraja Lililojengwa na JWTZ na Wananchi Pwani Lazua Utata, Raia Watilia Shaka Mil. 167

HIVI karibuni Global TV ilifanya ziara hadi katika daraja la Mkombozi maarufu kama daraja la Jeshi kujionea changamoto inayoelezwa kuwa...

READ MORE

Kocha Orlando Aihofia Simba kwa Mkapa, Kukutana na Wakati Mgumu wa Mashabiki Elfu 60,000

KOCHA Mkuu wa Orlando Pirates ya Afrika Kusini, Josef Zinnbauer amesema kuwa ubora wa Simba na matokeo mazuri waliyoyapata katika...

READ MORE

Bosi Simba Afungukia Ujio wa VAR CAF Kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam

UONGOZI wa Simba umefurahia ujio wa Msaada wa Video kwa Refa (VAR) itakayotumika kwa mara ya kwanza katika hatua ya...

READ MORE

NBC Yaandaa Futari kwa Wateja Wake Zanzibar

Zanzibar: April 9, 2022: Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeandaa hafla ya futari kwa ajili ya wateja wake visiwani...

READ MORE

Al Barakah ya Benki ya CRDB Yawagusa RC na Sheikh Mkuu Tanga

    TANGA 9 Aprili 2022 – Huduma ya Al Barakah ya Benki ya CRDB inayozingatia misingi ya kutotoza au...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumapili, Aprili 10, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Aprili 10, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE