×

Mrisho Mpoto Ateuliwa Serikalini

Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso amemteua msanii wa muziki, Mrisho Mpoto ‘Mjomba’ kuwa Balozi wa Sekta ya Maji nchini...

READ MORE

Waasi ADF Wanaodaiwa Kuwa ni Watanzania Wakamatwa DRC

Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (FARDC) vimetangaza kuwakamata raia watatu wa Tanzania wanaodaiwa kuwa ni wanachama wa kundi...

READ MORE

TFF Yathibitisha GSM Kujitoa Udhamini wa Ligi

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limethibitisha kuwa leo Feb 07, 2022 limepokea barua ya kuvunja mkataba wa udhamini...

READ MORE

Jux ni Mzee wa Old Skuli

Msanii wa Bongo Fleva, Juma Jux, anasema yeye huwa anapenda kusikiliza nyimbo za zamani zaidi tofauti na anavyosiki­liza mikwaju ya...

READ MORE

GSM Yajitoa Udhamini Ligi Kuu, TFF, Bodi ya Ligi Watajwa

Mdhamini Mwenza wa ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier Leagueq) 2021/2022 wamejitoa kuendelea kudhamini Ligi Kuu inayoendelea hivi sasa kuanzia...

READ MORE

Simba Wanatamba! Kiko Wapi Sasa, Bado 5 tu

SIMBA jana wamepambana na kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mbeya Kwanza katika mchezo mgumu ulioonekana ungemalizika kwa suluhu...

READ MORE

Mayele Mchezaji Bora wa Mwezi

Mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele amechaguliwa mchezaji bora Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC mwezi Januari, 2022.   Kikao...

READ MORE

Sakho, Bwalya waundiwa zengwe CAF

BAADA ya kukitazama kikosi cha Simba, Kocha Mkuu wa Asec Mimosas ya nchini Ivory Coast, Julien Chevalier, amewataja wachezaji Pape...

READ MORE

Wasira: Sitaki Tena Urais

MBUNGE wa zamani na Waziri Mstaafu wa Wizara mbalimbali nchini, Mzee Steven Wasira amesema kuwa kwa sasa hana mpango tena...

READ MORE

Nabi: Tuliwazidi Mbeya City Kila Kitu

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga, yenye pointi 36 ikiwa nafasi ya kwanza kwenye ligi kuu, amesema kuwa waliwazidi wapinzani...

READ MORE

Rais Samia: Nassari Alikuwa Akituchachafya Bungeni

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu,  Februari 7, 2022 akiwa kwenye ziara Mkoani Mara amesema anashukuru kwamba taarifa...

READ MORE

Mastraika Simba Wachimbwa Mkwara Mzito

KOCHA Msaidizi wa Simba, Seleman Matola, amefunguka kuwa benchi la ufundi la klabu hiyo halijaridhishwa na mwenendo wa ufungaji mabao...

READ MORE

Mghana wa Azam Ampa Somo Morrison

KUTOKANA na winga wa Simba, Bernard Morrison kupewa adhabu ya utovu wa nidhamu, Mghana mwenzake wa Azam, Daniel Amoah, amempa...

READ MORE

Kocha Mbeya City: Tulikuja Kuwavuruga Yanga

MATHIAS Lule, Kocha Mkuu wa Mbeya City, amesema kuwa waliingia uwanjani kuwavuruga Yanga baada ya kujua kwamba wamewasoma kwenye mechi...

READ MORE

Kushere Ubingwa wa AFCON, Rais wa Senegal Atangaza Mapumziko ya Kitaifa

Rais wa Senegal, Macky Sall ametangaza kuwa leo Jumatatu Februari 7, 2022 ni mapumziko kitaifa ili watu washerehekee ushindi wa...

READ MORE

Kylie, Travis Wapata Mtoto wa Pili

SUPASTAA wa shoo ya Kimataifa ya Keeping Up With The Kardashians na mfanyabiashara, ambaye ni mdogo wake na mwanamitindo maarufu,...

READ MORE

Madarasa Yageuzwa Kituo cha Kuvuta Bangi

​​​​​​​WANAFUNZI wanaosoma katika shule mbili za msingi za Kijichi wilayani Temeke mkoani Dar es Salaam, wako hatarini kuathirika kiafya na...

READ MORE

Vodacom “Shangwe Lipo Palepale” Yatoa Zawadi za Ada kwa Washindi 10 Mbagala, Dar

      AKIZUNGUMZA kwa niaba ya wenzake mmoja kati ya washindi aliyejishindia ADA ya shule kwa watoto wake, Jackline...

READ MORE

Moto Waua Watoto Wawili Ndani ya Nyumba

WATOTO wawili wa familia moja wamefariki dunia baada ya kukosa hewa ya kutosha chumbani katika nyumba waliyokuwa wakiishi katika Kijiji...

READ MORE

Live: Rais Samia Anaweka Jiwe La Msingi Ujenzi Wa Chujio La Maji Mradi Wa Maji Bunda…

Rais Samia Suluhu Hassan leo Februari 7, 2022 anaendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Mara ambapo leo anaweka jiwe...

READ MORE