×

Fid Q: Mwaka Huu Nitapanda Mwendokasi

RAPA nguli Bongo, Farid Kubanda ‘Fid Q’ ametia neno kwenye kile ambacho rapper #Cardib ametweet kupitia akaunti yake ya Twitter...

READ MORE

Polisi Wakesha Kulinda Nyumba ya Mchezaji Isichomwe

Polisi mijini Free Town nchini Siera-Leone wamekesha kulinda nyumba ya mshambuliaji wa timu ya Taifa ya nchi hiyo Kei Kamara...

READ MORE

Aboubakar Aingia Levo za Samuel Eto’o

NYOTA wa timu ya taifa ya Cameroon, Vincent Aboubakar kwenye mashindano ya Afcon 2021 nchini Cameroon yeye anakiwasha tu kwa...

READ MORE

Tyson Kumvaa Kijana wa Miaka 25

TAARIFA kutoka Gazeti la The Sun inasema kuwa bondia mkongwe na mashuhuri duniani Mike Tyson (55) yuko katika hatua za...

READ MORE

Tommy Kuachia Dude la Maana

MSANII wa Bongo Fleva, Tommy Flavour amesema kuwa tayari ameshakamilisha albamu yake mpya ambayo yupo tayari kuitoa siku za hivi...

READ MORE

Tatizo la Bocco Limepata Dawa

IWAFIKIE mashabiki wa Simba kwamba tatizo la nahodha wa Simba kuwa kwenye kipindi kigumu cha kushindwa kufunga wala kutoa pasi...

READ MORE

Mwakinyo Avuliwa Ubingwa wa WBF

Shirikisho la ngumi za kulipwa duniani limewavua mikanda ya ubingwa wa WBF Intercontinental mabondia wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan...

READ MORE

Safari ya Taifa Stars Afcon 2023 Kuanza Leo

Fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) hufanyika kila baada ya miaka miwili na kwa sasa ushirikisha jumla ya timu za...

READ MORE

Huyu Ndiye Dkt. Tulia Usiyemjua

Dkt. Tulia Ackson alizaliwa Novemba 23, 1976 katika Kata ya Bulyaga, Tukuyu Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya. Dkt. Tulia alisoma...

READ MORE

Instagram Sasa Itabidi Ulipie Ili Kuona Maudhui

Mtandao maarufu duniani wa Instagram sasa unafanya majaribio ya maboresho ambapo mtumiaji wa mtandao huo sasa ataweza ku-Subscribe na kulipia...

READ MORE

Hospitali Yatakiwa Kumlipa Mgonjwa Mil 40 kwa Kumpa Majibu ya Uongo

Kituo kimoja cha kutolea huduma za matibabu kilichopo Mombasa Kenya kimetakiwa na Mahakama kulipa fidia ya Ksh. milioni 2 (Tsh....

READ MORE

Tembo Aliyejifungua Mapacha Apewa Ulinzi Maalum

MNYAMA aina ya Ndovu au Tembo wa Mbuga ya Kitaifa ya Samburu nchini Kenya, amejifungua ndama pacha katika kile ambacho...

READ MORE

Mawakili Wamkimbia R. Kelly

MSANII maarufu duniani wa RnB, Robert Sylvester Kelly ‘R. Kelly’ ameanza kutafuta mawakili wengine wa kumuwakilisha kwenye kesi yake mjini...

READ MORE

Bacca Aaanza Kazi Yanga Kwa Mkwara

BEKI mpya wa Yanga, Ibrahim Abdallah ‘Bacca’ amesema licha ya kutua kwenye timu hiyo huku ikiwa na nyota kadhaa wa...

READ MORE

Newala: Maajabu ya Mvuke Mweupe Unaotoka Kwenye Shimo la Mungu

MVUKE mweupe unaotoka kwenye shimo maarufu kwa jina la Shimo la Mungu lililopo wilayani hapa Mkoa wa Mtwara, umewashtua wenyeji...

READ MORE

Kili Marathon 2022 Yazinduliwa Moshi

    TOLEO la 20 la mbio za Kilimanjaro Premium Lager Marathon 2022 limezinduliwa mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro, ikiwa ni...

READ MORE

NMB,Serikali ya Zanzibar Wasaini Mkataba Ukusanyaji Mapato Sekta ya Utalii

  Benki ya NMB imesaini makubaliano ya kimkakati na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kushirikiana katika kuimarisha na kukuza ukusanyaji wa...

READ MORE

Nafasi ya Kazi BRELA, ESTATE OFFICER

POST ESTATE OFFICER II – 1 POST POST CATEGORY(S) CREATIVE AND DESIGN ENGINEERING AND CONSTRUCTION LAND MANAGEMENT EMPLOYER Business Registrations...

READ MORE

Tutawabaini Laki 2 Wanaoishi na VVU bila kujua

MCHAKATO wa kuwapata watu 200,000 waishio na virusi vya ukimwi bila kujua ni mbinu mojawapo ambayo Wizara ya Afya imesema...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE