×

‘Wahuni’ Wavamia Nyumbani kwa Polepole

Watu wasiojulikana wamevamia nyumbani kwa Mbunge wa CCM, Humphrey Polepole jijini Dodoma leo wakati yeye akiwa safarini mkoani Manyara. Kupitia...

READ MORE

Watakaowadanganya Mawaziri Kuvuliwa Nyadhifa Zao

NAIBU Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara amesema meneja, mkuu wa taasisi na watendaji wa wizara hiyo wanaotoa majibu...

READ MORE

Yanga Wasikitishwa na Kauli za Mwenyekiti wa Simba

Uongozi wa Klabu ya Yanga umetoa taarifa ya kusikitishwa na kauli iliyotolewa na Mwenyekiti wa wanachama wa klabu ya Simba,...

READ MORE

Rais Samia Afunga Mafunzo Ya Uofisa Chuo Cha Polisi Kurasini Dar- (Picha+Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki katika Mahafali ya Kufunga Mafunzo ya Uofisa Kozi...

READ MORE

Uzinduzi Wa Matangazo Ya Vivutio Vya Utalii Katika Mabasi Nchini Israel

Katika kuhitimisha maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara, Job Daudi Masima, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

Makusu Awaita Simba, Yanga

SHAMBULIAJI wa zamani wa AS Vita na Orlando Pirates, Jean Marc Makusu Mundele, ameweka wazi kuvutiwa na timu za Simba...

READ MORE

Nafasi za kazi 2 World Vision International, Area Program Ministry Facilitator

World Vision International To provide leadership and manage technical programs implementation in Area Program(AP) by providing management support in integration...

READ MORE

CCM Yashinda Uchaguzi Jimbo la Ngorongoro

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ngorongoro Dkt. Jumaa Mhina amemtangaza Mgombea wa CCM, Emmanuel Shangai kuwa Mbunge wa Jimbo hilo...

READ MORE

Bodaboda Amuua Mchumba Wake, Naye Ajinyonga-Video

Mwanaume mmoja aliyetambulika kwa jina la Mwango Nzioka mwenye umri wa miaka 30 aliyekuwa akifanya kazi ya kuendesha bodaboda, amemuua...

READ MORE

Nabi Akabidhiwa Rungu Usajili Yanga

IKIWA zimebaki sikutatu kabla dirisha dogo la usajili hapa nchini halijafunguliwa, uongozi wa Yanga umefunguka kuwa katika kuhakikisha wanafanikisha mpango...

READ MORE

Nafasi ya Kazi Tanzania Posts Corporation (TPC), ICT OFFICER

POST ICT OFFICER II (SECURITY) – 1 POST POST CATEGORY(S) IT AND TELECOMS EMPLOYER Tanzania Posts Corporation (TPC) APPLICATION TIMELINE:...

READ MORE

“Vibe la Christmas, Tecno Yatosha” Yazinduliwa Rasmi

Habari njema imeanikwa kwa Watanzania na zaidi sana kwa wale watumiaji simu janja, Kampuni TECNO imewaletea wateja wake na wananchi...

READ MORE

TFF Yaanika Kisa Cha Barbara Kuzuiwa Kwa Mkapa – Video

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limefafanua taarifa ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez kuzuiwa kuingia kushuhudia...

READ MORE

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Desemba 12, 2021

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Desemba 12, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

FT: Simba 0-0 Yanga Ngoma Nzito

DAKIKA 90 zimekamilika Uwanja wa Mkapa na ngoma kuwa nzito kwa timu zote ambapo zimegawana pointi mojamoja. Mpaka mwamuzi wa...

READ MORE

Polisi Amuua Mwenzake kwa Risasi Wakiwa Lindoni

Polisi mwenye cheo cha Konstebo, Onesmo Joseph, amekufa baada ya kupigwa risasi na askari mwenzake, aliyetajwa kwa jina la Joseph,...

READ MORE

Bashungwa Awataka Vijana Kuacha Chuki

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa amewataka wasanii kushindana bila chuki na uhasama katika kukuza muziki na...

READ MORE

Polepole Alia na ‘Wahuni’ Ndani ya Serikali – Video

MBUNGE wa kuteuliwa, Humphrey Polepole amesema kuna baadhi ya watu ndani ya Serikali (ambao hajawataja) wamekuwa wakifanya vitu vya hovyo...

READ MORE

Polepole: Siondoki CCM – Video

MBUNGE wa kuteuliwa, Humphrey Polepole amesema hataondoka ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kama ambavyo watu waekuwa wakimsema kwani anaamini...

READ MORE