×

Mtoto Nilsa Afariki Dunia Akipatiwa Matibabu – Video

Mtoto Nilsa, ambaye alikuwa akiishi na changamoto ya kiafya tangu kuzaliwa, amefariki dunia leo, Januari 18, 2026. Kifo cha Nilsa...

READ MORE

Stanbic Yaunga Mkono Utoaji Wa Sukuk Ya Ak Barakah Ya Benki Ya CRDB Kama Mratibu Mwenza

Stanbic inaonesha utaalamu wake kama Mshirika mwenza wa Mpango katika kuunga mkono utoaji wa hivi karibuni wa Sukuk ya Al...

READ MORE

Meridianbet Yazindua Burudani Mpya Ya Sloti Kupitia Slotopia

Meridianbet imechukua hatua nyingine kubwa katika kubadilisha taswira ya kasino mtandaoni kwa kuleta mshirika mpya mwenye nguvu, Slotopia. Huu ni...

READ MORE

Kiongozi Mkuu wa Iran Amshutumu Trump kwa Vifo vya Waandamanaji – Video

Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, siku ya Jumamosi amemlaumu Rais wa Marekani Donald Trump kwa wiki kadhaa za...

READ MORE

Niffer Athibitisha Kuachana na OG, Aomba Kuheshimiwa

Mfanyabiashara maarufu anayefahamika kwa jina la Niffer amethibitisha rasmi kuvunjika kwa mahusiano yake na aliyekuwa mpenzi wake, OG Phone and...

READ MORE

Maswali 10 Unayotakiwa Kumuuliza Mtu Unayetaka ‘Kudate’ Naye!

WIKI hii nitazungumzia maswali 10 ambayo unatakiwa kumuuliza mtu unayetaka kudate naye ili majibu yake yakupe mwanga wa kinachoweza kutokea...

READ MORE

Mpenzi Wangu Aliniacha na Kuolewa na Mwanaume Mwingine, Baadaye Alirudi Akilia

Siku niliyopokea ujumbe wake wa mwisho bado unauma hadi leo. Hakukuwa na maelezo marefu, hakukuwa na majibu ya maswali yangu....

READ MORE

Senegal Yatwaa Ubingwa, Sadio Mané Aibuka Mchezaji Bora

Mchezaji wa klabu ya Al Nassr na timu ya Taifa ya Senegal, Sadio Mané, ametwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa...

READ MORE

Zambia Yadhibiti Matumizi ya Dola, Kwacha Yapaa Afrika

Kwa sasa, Kwacha ya Zambia inatajwa kuwa miongoni mwa sarafu zinazofanya vizuri zaidi barani Afrika dhidi ya Dola ya Marekani,...

READ MORE

Kwagilwa Atoa Siku 30 Kukamilisha Ujenzi Wa Shule Ya Sekondari

Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI anayeshughulikia Elimu, Reuben Kwagilwa (Mb), ametoa muda wa mwezi mmoja kwa...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Januari 19, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Waangalizi wa EAC Waipongeza Uganda kwa Uchaguzi wa Amani

Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umeipongeza Serikali na wananchi wa Uganda kwa kuendesha Uchaguzi...

READ MORE

Prof. Shemdoe Aishukuru Nmb Kwa Kutoa Msaada wa Vifaa Tiba Na Vya Elimu Lushoto

  Mbunge wa Jimbo la Lushoto, Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, ameishukuru Bank ya NMB kwa kutoa mchango wa vifaa tiba...

READ MORE

Simba Washikwa Shati na Mtibwa Sugar

Na Bakari Mahundu Dakika 90 za mchezo wa kukatana shoka kati ya Simba SC na Mtibwa Sugar zimekamilika kwenye Uwanja...

READ MORE

Kipa wa Taifa Stars Hussein Masalanga Atua Yanga

Klabu Yanga leo Jumapili, Januari 18, 2026 imetangaza kukamilisha usajili wa kipa Hussein Masalanga akitokea klabu ya Singida Black Stars....

READ MORE

Prof. Shemdoe Akemea Tabia ya Wananchi Kutupa Takataka Kwenye Barabara za Manispaa ya Morogoro

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amekemea...

READ MORE

Mwili wa Marehemu Halima Nassor Ulivyofikishwa Nyumbani Kwake, Kigamboni

Na Bakari H. Mahundu Mwili wa Marehemu Halima Idd Nassor ulivyofikishwa nyumbani kwake Kibada, Kigamboni Dar es Salaam kwaajili ya dua maalumu nyumbani hapo kabla…

READ MORE

Dkt. Mwigulu: Serikali Itaendelea Kushirikiana Na Viongozi Wa Dini

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 18, 2026 ameshiriki Ibada ya Jumapili katika Kanisa Kuu Anglikana la Roho Mtakatifu...

READ MORE

Chuo cha DUCE Chatangaza Nafasi Mbalimbali za Ajira Januari 2026

Chuo Kikuu cha Elimu cha Dar es Salaam (DUCE), ambacho ni Chuo Kishiriki cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,...

READ MORE

Rais Samia Atoa Pole kwa Familia ya Mbunge Halima Nassor, Maziko Kufanyika Leo Kigamboni

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za rambirambi kwa Spika wa Bunge la Jamhuri...

READ MORE