×

R. Kelly na Tuhuma Mpya za Ulawiti

MWANAMUZIKI maarufu wa R&B nchini Marekani, Robert Sylvester Kelly ‘R. Kelly’ amekabiliwa na shutuma mpya za kumdhulumu kimapenzi mvulana mwenye...

READ MORE

Fisi Asababisha Kifo cha Mtoto, Ajeruhi Watatu

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida fisi aliingia ndani ya nyumba na kumnyakua mtoto wa mwaka mmoja na kisha kukimbia naye...

READ MORE

Mukoko Awaangukia Yanga “Sikukusudia”

KIUNGO mkabaji wa Yanga, Mukoko Tonombe kupitia ukurasa wake wa Instagram amewaomba radhi mashabiki pamoja na benchi la ufundi kwa...

READ MORE

Breaking News: Mbowe Afikishwa Mahakamani

  MWENYEKITI Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe anadaiwa kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar...

READ MORE

Huawei Kumwaga Mamilioni Wenye Vipaji vya Dijitali

Huawei imepanga kuwekeza dola za kimarekani milioni 150 katika kukuza vipaji vya dijitali katika kipindi cha miaka mitano ijayo, mpango...

READ MORE

Serikali Yawatoa Hofu Mabalozi Mapambano ya Uviko 19

SERIKALI  imewaeleza Mabalozi njia mbalimbali inazozitumia kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona ikiwa ni pamoja na kuridhia uingizwaji wa chanjo...

READ MORE

Breaking: Aliyetuhumiwa Kumteka Mo Dewji Aachiwa Huru

  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imemfutia kesi na kumwachia huru dereva taksi Mousa Twaleb aliyekuwa...

READ MORE

Beki Matata Afungukia Usajili Wake Simba, Yanga

BEKI wa Kati na Nahodha wa Biashara United, Abdulmajid Mangalo, amesema kuwa Yanga bado wapo kwenye mazungumzo na uongozi wake....

READ MORE

Kocha Yanga amkataa beki wa Azam

UNAAMBIWA kuwa Kocha wa Yanga Nassredine Nabi ndiye alieukataa usajili wa beki wa Azam FC, Yakubu Mohamed ambaye hapo awali...

READ MORE

Rais Amfuta Kazi Waziri Mkuu, Asimamisha Bunge kwa Siku 30

Rais wa Tunisia, Kais Saied amemfuta kazi waziri mkuu wake, Hichem Mechichi na kusitisha shughuli zote za bunge kwa muda...

READ MORE

Anna Mghwira Aagwa Arusha

Shughuli za kumuaga aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira zinaendelea nyumbani kwake Manyata Jijini Arusha huku tahadhari...

READ MORE

RC Makalla: Kuvaa Barakoa Lazima, Marufuku Kujaza Abiria

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amewataka Wananchi kuchukuwa tahadhari dhidi ya Ugonjwa wa Corona ambapo...

READ MORE

Yanga Yaifunika Simba Kigoma

WAKATI mchezo wa Ligi Kuu Bara ukipigwa jana kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika Kigoma, Yanga walionekana kuifunika Simba. Kabla mchezo...

READ MORE

Video: Simba Watua Dsm na Kombe Lao, Morrison Aibua Shangwe

KIKOSI Cha Simba SC ambao ndio mabingwa wa kombe la Shirikisho mara 2 mfululizo na kombe la ligi kuu mara...

READ MORE

Pacha wa Manara azua taharuki uwanjani

DUNIANI wawili, hilo lilionekana dhahiri kwa shabiki wa Yanga ambaye alikuwa anafanana kila kitu na msemaji wa Simba Haji Manara....

READ MORE

Shigongo Kukamilisha Zahanati Iliyomaliza Miaka 12 Bila Kukamilika

SHIGONGO KUKAMILISHA UJENZI WA ZAHANATI ILIYODUMU KWA MIAKA 12 BILA KUKAMILIKA. Mbunge wa jimbo la Buchosa Eric Shigongo amepokelewa kwa...

READ MORE

Zaidi ya Abiria 50 Watekwa Nyara na Majambazi

Zaidi ya abiria 50 wametekwa nyara na watu waliojihami kwa silaha nzito za kivita katika Jimbo la Sokoto nchini Nigeria. Mamlaka...

READ MORE

Shabiki Simba Avuliwa Nguo Zote

ALMANUSRA atolewe roho jamaa mmoja aliyetambulika kwa jina la Juma aliyedaiwa kuwa ni shabiki wa Simba baada ya kutokea uwanjani...

READ MORE

Shabiki Atoa Laki Mbili Atafutiwe Mzee Mpili

KAMA masihara vile lakini huo ndio ukweli, baada ya shabiki mmoja mkazi wa Kigoma aliyejitambulisha kwa jina la Ma Beatrice...

READ MORE

Arusha: Polisi Auawa kwa Kukatwa Panga Akikamata Mhalifu

  ASKARI polisi katika kituo kidogo cha polisi Mbughuni mkoani Arusha, PC Damas ameuawa kwa kukatwa na panga kichwani wakati...

READ MORE