×

Magazeti ya Tanzania leo Juni 23, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Juni 23, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Serikali Yaipongeza NMB Uzinduzi wa NMB Healthcare Club

  Benki ya NMB, imekuwa ya kwanza nchini kuzindua Klabu za Afya NMB Healthcare Club, mtandao unaowapa wadau wa Sekta...

READ MORE

RC Makalla Atembelea Soko la Machinga Complex, Atoa Agizo

MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amewaelekeza Mkuu wa Wilaya ya Ilala na Mkurugenzi wa Jiji...

READ MORE

Rais Samia Aelekea Msumbiji Kuhudhuria Mkutano wa SADC Kesho

Rais Samia akiagana na Viongozi mbalimbali wa Serikali akiwemo Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango, katika Uwanja wa Ndege...

READ MORE

Breaking: Kihongosi Ateuliwa Katibu Mkuu Wa UVCCM

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM, imemteua Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mkoani Singida, Kenani Kihongosi...

READ MORE

Mwigulu Aivaa TFF, Simba Kutolewa Ligi ya Mabingwa

WAZIRI wa Fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba amesema Shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF halina mipangilio inayoeleweka kimichezo...

READ MORE

Diamond, Zari Motomoto

  KILA moto wa penzi la Diamond na Zari unapotaka kuzima, ni kama kuna mtu anauwekea mafuta na mambo yanakuwa...

READ MORE

Backstreet Boy’s Wamerejea?

WAHENGA mpoo!, basi lile kundi maarufu la muziki wa Pop na Rnb, Backstreet Boys umeambiwa linajifua kurejea tena kwenye game...

READ MORE

Yacouba Apewa Sifa Kibao Yanga

BENCHI la Ufundi la Yanga linaloongozwa na Kocha Mkuu Mtunisia, Nasreddine Nabi, limefichua kwamba lilikoshwa na aina ya wachezaji wao...

READ MORE

Chris Brown Achunguzwa na Polisi

MKALI wa muziki wa RnB Chris Brown ameripotiwa kuchunguzwa baada ya mwanamke mmoja kudai kumshambuliwa nyumbani kwake  huko Los Angeles mwishoni...

READ MORE

DPP Awafutia Mashtaka Waliodaiwa Kuwatumikisha Walemavu Kuwa Ombaomba

Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) amewafutia mashtaka na kuwaachia huru washtakiwa 14 waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka 41 yakiwemo ya...

READ MORE

Breaking: Bunge Lapitisha Bajeti ya Serikali Kwa Kishindo -Video

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Juni 22, 2021 limeikubali na kuipitisha bajeti ya mapato na matumizi ya...

READ MORE

Nandy -Yote sawa (Official Audio)

Msanii wa muziki Bongo, Nandy ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Yote sawa. isikilize hapa kwa...

READ MORE

Mwigulu: Kodi Ya Majengo Kwa Kutumia Luku Sio Ya Mpangaji Ni Ya Mmiliki

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Juni 22, 2021 amesema mfumo wa ulipaji Kodi ya Majengo kwa...

READ MORE

Mechi Za Eur0 2020 Kuendelea Wiki Hii

Hatua ya Makundi ya michuano ya EURO 2020 kutamatika wiki hii. Timu kadhaa zimeshafuzu 16 bora, huku nyingine zikiendelea kujitafuta....

READ MORE

Mahakama Yatengua Uamuzi wa Fatma Karume Kufutiwa Uwakili

MAHAKAMA kuu ya Tanzania kanda ya Dar es salaam imetengua uamuzi wa kamati ya maadili ya mawakili wa kumfutia moja...

READ MORE

Video: Waziri Mwigulu Anajibu Hoja Za Wabunge Kuhusu Bajeti

 Spika Job Ndugai amesema, mjadala wa Bajeti ya Serikali ya 2021/22 ya Sh.36.3 trilioni unahitimishwa leo Jumanne kwa wabunge...

READ MORE

Kiba Ndombolo Umewasha, Sasa!

MFALME Ali Saleh Kiba ‘AliKiba’ Juni 10 ameachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la Ndombolo. Mpaka sasa imefanya vizuri, ina...

READ MORE

Maajabu: Gari Latumbukia Kwenye Nyumba Ya Mtu -Video

 KATIKA hali ya kushangaza, Gari moja la kusambaza mafuta limepata ajali na kutumbukia kwenye nyumba ya mama mmoja huko...

READ MORE

Bocco Azuia Usajili wa Beki Mpya Simba

UNAAMBIWA nahodha wa Simba, John Bocco, amepambana kadiri ya uwezo wake kuhakikisha anambakiza kikosini hapo beki wa kushoto wa timu...

READ MORE