×

Mkosoaji wa Ikulu Atiwa Nguvuni

Polisi ya Urusi imemkamata Dmitry Gudkov mmoja ya wakosoaji wakubwa wa ikulu ya Kremlin na taarifa zinasema huenda atakabiliwa na...

READ MORE

Samia Atoa Onyo Ma-RC na Ma-RAS Wanawake: ‘Nisiisikie’ – Picha,Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema ameteua asilimia 46 ya Makatibu Tawala Wanawake hivyo anataka...

READ MORE

Morogoro: Mchina Akamatwa kwa Kutorosha Dhahabu

Mkuu wa Wilaya ya Ulanga, Ngolo Malenya kwa kushirikiana na kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya hiyo wamekamata madini...

READ MORE

Nafasi za 8 TRA, Tax Management Assistants

POST CATEGORY(S): ACCOUNTING AND AUDITING HR & ADMINISTRATION LEGAL TAXATION AND SOCIAL PROTECTION EMPLOYER: Tanzania Revenue Authority (TRA) APPLICATION TIMELINE:...

READ MORE

RC Kafulila Aanza na Fedha za Madini

MKUU wa mkoa wa Simiyu David Kafulila ameagiza uhakiki wa kiasi cha madini ya ujenzi yanayotoka katika kila halmashauri za...

READ MORE

Mrisho Mpoto Amtolea Uvivu Mwijaku

“Mwijaku-Mwijaku-Mwijaku Nimekuita Mara tatu nakujua vizuri sana na najua unafahamu vizuri mno umekuwa Manager wangu kwa muda mrefu. Najua page...

READ MORE

Nimenusurika, Namshukuru Mungu

WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi wa Uganda Jenerali Katumba Wamala ametoa shukran zake kufuatia shambulio lililomlenga Jumanne asubuhi, akimshukuru Mungu...

READ MORE

Shilole Kumburuza Nuh Mziwanda Kortini

KIKI anayotumia Msanii wa Bongofleva, Nurdin Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ kwa kumhusisha msanii mwenzake ambaye pia alikuwa mpenzi wake, Zuwena Mohammed...

READ MORE

Ndugai Alivyomtimua Mbunge Kisa Suruali Ya Kubana

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai jana Jumanne Juni Mosi, 2021 alimtoa katika ukumbi wa Bunge mbunge wa Momba (CCM), Condester...

READ MORE

Samia: Rais Hakosei, Msiwadharau Niliowateua – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kuna Watu walisema Rais amekosea kuteua mtu kutoka chama...

READ MORE

Samia: Sina Ujuzi wa Kuhesabu Matofali na Mabati Kama Magufuli – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema mtangulizi wake, Hayati Dkt. John Magufuli alihesabu matofali na...

READ MORE

Video: Marioo Afunguka – “Kumsapoti Diamond”

MSANII Marioo Juni 1, 2021 amevunja ukimya baada ya Diamond kutajwa kuwania tuzo ya BET na kueleza kwa sasa Wasanii...

READ MORE

Mkwasa: Simba Wanafungika Mbona

IKIWA kesho Alhamisi Simba watashuka dimbani kucheza dhidi ya Ruvu Shooting kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, Kocha wa...

READ MORE

Rais Samia Awaapisha Makatibu Tawala wa Mikoa Ikulu – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaapisha Makatibu Tawala wa Mikoa na viongozi mbalimbali aliyowateua hivi...

READ MORE

Waziri Ummy Atekeleza Maagizo ya Rais Samia Kariakoo

Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu atekeleza maagizo ya Rais Samia Suluhu. Awasimamisha kazi viongozi wa Soko la Kariakoo, Dar kupisha...

READ MORE

Jackpot Za Nguvu Na Kasino Ya Mtandaoni Ya Meridianbet!

Sloti ya Wild Hot 40    Ushindi babkubwa na Meridianbet yenye kukuletea Odds Kubwa, Ofa na Bonasi za kukata na shoka....

READ MORE

Serengeti: Ngariba Nguli Atupwa Jela Miaka 5

NGARIBA nguli Mary Onyango Omega (50) maarufu Mkungu Mugesi mkazi wa kijiji cha Kitarungu Kata ya Nyansurura amehukumiwa na Mahakama...

READ MORE

Aliyempa Mimba Mwanafunzi Atupwa Jela Miaka 30

KIJANA Machage Samson (22) mkazi wa kijiji cha Nyamisingisi wilayani Serengeti mkoani Mara amefungwa miaka 30 na Mahakama ya Wilaya...

READ MORE