×

Wanne Wakamatwa Wakisherehekea Kifo cha Magufuli

Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kukejeli kifo cha Hayati Dkt. John Magufuli kwa kupika...

READ MORE

Waliomburuza Barabarani Mwanamke Wasimamishwa Kazi

Gavana wa kaunti ya Kisumu amewasimamisha kazi maafisa waliopigwa picha wakimburuza barabarani mwanamke mfanyabiashara wa matunda.     Vyombo vya...

READ MORE

Nafasi za Kazi Tano Hindu Mandal Hospital, Nursing Officers

Nursing Officers (5 Positions) Shree Hindu Mandal Hospital (SHMH), Dar es Salaam is inviting applications from suitably experienced and qualified...

READ MORE

Kauli ya Makonda Baada ya Kumuaga JPM

ALIYEKUWA kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameonyesha kuumizwa zaidi na msiba wa aliyekuwa Rais wa...

READ MORE

Wenye Miaka 58 na Zaidi Kupewa Kipaumbele Chanjo ya Corona Kenya

Serikali sasa imesema itawapa kipaumbele wale walio na umri wa miaka 58 na zaidi katika shughuli inayoendelea ya kutoa chanjo...

READ MORE

Jembe la kazi Yanga Lawasili Kambini

DIKCSON Job, beki wa kati wa Yanga, jana Jumatano aliwasili kambini baada ya Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen kumuweka...

READ MORE

Ibada ya Kuaga Wanafamilia 5 Waliofia Uwanjani Wakimuaga JPM – Video

MAJONZI na simanzi vimetawala leo Alhamisi, Machi 25, 2021, kwa waombolezaji, ndugu, jamaa na marafiki wakati wa ibada ya kuaga...

READ MORE

Chama Akabidhiwa AS Vita

CLATOUS Chama, kiungo mshambuliaji wa kikosi cha Simba, amekabidhiwa mchezo dhidi ya AS Vita kuipa ushindi timu hiyo na kutinga...

READ MORE

Askofu Niwemugizi: Magufuli Aliagiza Nirejeshewe ‘Passport Yangu’

ASKOFU wa Kanisa Katoliki jimbo la Rulenge Ngara, Severine Niwemugizi amesema aliyekuwa Rais wa Tanzania marehemu, John Magufuli aliagiza arejeshewe...

READ MORE

Mwambusi Aingia Anga za Gomes

KATIKA kuhakikisha kikosi chake kinakuwa imara na tishio katika michezo ijayo ya Ligi Kuu Bara na Kombe la FA, Kaimu...

READ MORE

Live: Miili ya Wanafamilia Watano Waliiofariki Pamoja Yaagwa Kimara Dar

    MAJONZI na simanzi vimetawala leo Alhamisi, Machi 25, 2021, kwa waombolezaji wakati wakitoa heshima za mwisho kwa miili...

READ MORE

Makamu Pili wa Rais Z’bar Aongoza Maelfu Kumuaga JPM Chato

    MAKAMU wa Pili wa Rais Zanzibar, Hemed Suleiman Abdullah ameongoza shughuli ya kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa...

READ MORE

Taifa Stars Yaahidi Ushindi Leo Dhidi ya Equatorial Guinea

TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imetamba kuwa maandalizi yote ya mchezo wao wa leo dhidi ya Equatorial Guinea...

READ MORE

Alikiba Jukwaani Kumuaga Hayati Magufuli- Video

MWANAMUZIKI Alikiba, amepata nafasi ya kutumbuiza katika hafla ya kuuaga mwili wa Hayati Dkt. John Magufuli, leo Machi 25, katika...

READ MORE

Ufafanuzi Kuhusu Rais Samia Kuitwa Amiri Jeshi au Amirat

SIKU chache baada ya kuibuka utata wa matumizi ya maneno ‘amiri’ na ‘amirat’ kutokana na Tanzania kupata Rais mwanamke kwa...

READ MORE

Ujerumani Kufungua Maduka Sikukuu ya Pasaka

KANSELA  wa Ujerumani Angela Merkel amebadilisha uamuzi wake wa kuzuia shughuli za kiuchumi katika kipindi cha msimu wa sikukuu ya...

READ MORE

Ratiba Ya Kuagwa Kwa Hayati Magufuli Chato, Geita, Machi 24 – 26, 2021

Ratiba ya kuagwa kwa Hayati Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, aliyekuwa Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania chato, Geita...

READ MORE

Live: Vilio Vyatawala, Mwili Wa Magufuli Ukiagwa Chato, Waziri Mkuu Anaongoza

 MWILI wa Hayati Magufuli, umewasili wilayani Chato, mkoani Geita, ambapo leo Machi 25, utaagwa na wananchi wa mkoa huo....

READ MORE

Aussems Yamfika Makubwa Kenya

FIFA imeifungia madirisha mawili klabu ya soka ya AFC Leopards ya Kenya kusajili wachezaji wa kimataifa, baada kushindwa kumlipa mchezaji...

READ MORE