×

Bilionea Atoa Ofa ya Kwenda Mwezini

BILIONEA wa Japan, Yusaku Maezawa, amewakaribisha watu wanane  kujiunga nae kwa ajili ya safari ya kuutembelea mwezi katika ndege maalum...

READ MORE

Mahari Yangu Si Chini ya Milioni 20 – Agness

MREMBO Official Agness maarufu kama Agness wa Uchebe amefunguka kusema wanaume wanaotaka kumuoa mahari yake ni kuanzia shilingi Milioni 20...

READ MORE

Maiti Yazuiliwa Hospitali, Kisa ‘Hitilafu ya Pasipoti’

MWANAMKE ambaye baba yake wa kambo alifariki Thailand wiki mbili zilizopita anasema hospitali imekataa kuachilia maiti yake kutokana na mchanganyiko...

READ MORE

Mama, Mwanaye Wakutwa Wamekufa Gesti

  IRENE Lyimo(21) mkazi wa kata ya Kilema Kaskazini Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro na mwanaye wa mwaka mmoja wamekutwa...

READ MORE

Kuna Udhaifu Kwenye Kupambana na Nzige – Mkenda

SERIKALI imesema hairidhishwi na utendaji wa shirika la kukabiliana na nzige wa jangwani la Afrika Mashariki lenye makao yake makuu...

READ MORE

Yanga Yatoa Tamko Kuhusu Kaze

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba bado una imani na Kocha Mkuu wa timu hiyo Cedric Kaze licha ya timu...

READ MORE

Nyota Wanne Simba Waweka Rekodi Ligi Kuu

NAHODHA wa Simba, John Bocco anaongoza kwa wazawa wenye mabao mengi ndani ya Ligi Kuu Bara akiwa nayo tisa kibindoni...

READ MORE

Nafasi za Kazi 4 VETA, Assistant Vocational Teacher – Electrical Installation

POST: ASSISTANT VOCATIONAL TEACHER – ELECTRICAL INSTALLATION – 4 POST POST CATEGORY(S): ENGINEERING AND CONSTRUCTION EMPLOYER: Vocational Educational and Training...

READ MORE

Aliyemzimisha Manula Afunguka Kilichotokea

BAADA ya kipa wa Simba Aishi Manula kutolewa uwanjani na kukimbizwa na hospitali baada ya kupata majeraha hatimaye aliyesabisha tukio...

READ MORE

Aibomoa Nyumba ya Mil 154 Aliyomjengea Girlfriend Wake

NYUMBA yenye vyumba vinne ya huko Mpumalanga nchini Afrika Kusini imebomolewa yote kufuatia mgogoro kati ya wapenzi. Video zinazoonyesha nyumba...

READ MORE

Kaze: Siogopi Presha Yanga

  WAKATI akiwa kwenye presha kubwa ya kibarua chake kuota nyasi kutokana na matokeo ambayo hayawafurahishi mabosi wake pamoja na...

READ MORE

Waturuki Watua Kuijenga Upya Yanga

TAARIFA ilizozipata Spoti Xtra kutoka ndani ya Klabu ya Yanga zinasema kwamba, kampuni moja kutoka nchini Uturuki, hivi karibuni ilifika...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Machi 3, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Machi 3, 2021. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi Kirahisi Zaidi Hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Gazet la...

READ MORE

Tamasha la Kisarawe Ushoroba Festival laendelea, Vodacom Tanzania na WWF wasimamia zoezi la upandaji miti

Mkuu wa wilaya ya Kisarawe, Mhe. Jokate Mwegelo (katikati) akiotesha mti kwenye eneo la hifadhi ya msitu wa mazingira asilia...

READ MORE

Padre Aliyewanyanyasa Watoto Kingono Afia Gerezani

Padri wa zamani wa Kanisa Katoliki ambaye alifungwa jela kwa kuwanyanyasa kingono watoto watatu pamoja na mwanafunzi aliyekuwa akisomea upadri...

READ MORE

DC Ilala Atoa Siku 30 Bure Kufanya Biashara Soko la Minazi Mirefu

Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Ng’wilabuzu Ndatwa Ludigija amefanya ziara katika Soko la Minazi Mirefu katika Ziara hiyo aliatambatana...

READ MORE

Mwanza: Vikoba Kufungwa Aprili 30

MKURUGENZI wa Usimamizi wa Mabenki wa Benki Kuu, Jerry Masyenene amesema ifikapo Aprili 30, mwaka huu vikoba abavyo havijasajiliwa havitatambulika...

READ MORE

Mbunge Tanga wa Aomba Radhi kwa Wimbo Wake

UNAUKUMBUKA ule wimbo wa dume suruali wa Mbunge wa Jimbo la Muheza Tanga na msanii Mwana Fa, kama unaukumbuka ishu...

READ MORE

Manara: Manula Aruhusiwa Kutoka Hospitali – Video

UONGOZI wa Simba umesema kuwa hali ya kipa namba moja wa timu hiyo Aishi Manula kwa sasa ipo sawa baada...

READ MORE