×

Kocha Simba Awafanyia Sapraizi AS Vita

KOCHA Mkuu wa Simba, Mfaransa, Didier Gomes, amepanga kukifumua kikosi chake kitakachoivaa AS Vita ya DR Congo katika mchezo wao...

READ MORE

JPM Atoa Maagizo Mazito Moro “Uozo Huu Ukome” – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amemwagiza Mkuu wa Mkoa wa Morogoro na Mkuu wa...

READ MORE

Mbunge Isaay: “Matatizo ya Kupumua Serikali Iache Kigugumizi”

Mbunge wa Mbulu Mjini (CCM), Zacharia Isaay ametaka Serikali ya Tanzania kueleza wazi kuhusu alichokiita ugonjwa wa kupumua ambao anasema...

READ MORE

Staa Dazhariaa Ajiua Baada ya Kujiposti

STAA mwanamuziki Mmarekani,  TikTok aka Dazhariaa Quint Noyes amefariki  katika umri wa miaka 18 kwa kujiua Jumatatu wiki hii.  ...

READ MORE

Mtoto Achomwa Moto kwa Tuhuma za Kuiba Karanga

Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga linamshilikilia mwanamke aliyejulikana kwa jina la Christina Mwagi (29) kwa tuhuma ya kumjeruhi kwa...

READ MORE

Yanga Yaifuata Mbeya City Full Mziki

MSAFARA wa watu 38 ukiwa na wachezaji 24 wa Yanga na viongozi 14 wa timu hiyo, leo Alhamisi  Feb 11,...

READ MORE

Tanzia: Hakimu Mwambapa Afariki Dunia

MAHAKAMA ya Tanzania imetangaza kifo cha Hakimu Mkazi Mfawidhi, Mahakama ya Wilaya Nanyumbu Mtwara, Godfrey Mwambapa, kilichotokea leo asubuhi akipelekwa...

READ MORE

Yacouba: Kucheza Yanga Nitacheza Siwahofii Saido, Fiston

MIONGONI mwa sehemu ambazo mabosi na benchi la ufundi la Yanga lilifanya usajili mkubwa ni ushambuliaji ikiwa ni baada ya...

READ MORE

Darasa si wa Mchezo, Tazma Alichokifanya

Albamu ya rapa Darassa a.k.a Mr Burudani, “Slave Becomes A King”, inaendelea kufanya vizuri duniani, ikiwa tayari ina miezi miwili...

READ MORE

Rais Magufuli Aagiza Watoza Ushuru Wafukuzwe – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ameagiza kufukuzwa mara moja kwa watoza ushuru waliopo kwenye...

READ MORE

Kibarua cha Kocha Ndayiragije Chaota Nyasi Stars

SHIRIKISHO soka nchini, (TFF) leo Februari 11, 2021, limekubaliana kuvunja makubaliano na Kocha wa Taifa Stars, Etienne Ndayiragije.  Hii ni...

READ MORE

Nandy Featuring Koffi Olomide – Leo Leo

Sexy lady anayekimbiza kwa sasa kwenye Bongo Fleva, Faustina Charles ‘Nandy’ leo Februari 11, 2021 ameachia wimbo wake mpya wa...

READ MORE

Mume wa Queen Darleen Atoboa Siri ya Mke Mkubwa

ISIHACK ambaye ni mume wa msanii Queen Darleen, ametoboa siri kwamba mke wake mkubwa anayetambulika kwa jina la #Sabra ni...

READ MORE

Majaliwa: Kutangaza Nyongeza ya Mishahara Kunaongeza Gharama za Maisha

WAZIRI mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema kutangaza nyongeza ya mishahara ya wafanyakazi hadharani hakuna tija...

READ MORE

Kilio Kila Kona Ongezeko Bei ya Vifurushi vya Makampuni ya Simu

  Uamuzi wa kimyakimya wa kampuni za mawasiliano ya simu za Tigo na Vodacom Tanzania kupandisha gharama za vifurushi vya...

READ MORE

Ex wa Boateng Afariki Dunia

Mwanamitindo Kasia Lenhardt (25) ambaye alikuwa mpenzi wa mchezaji wa FC Bayen Munich Jerome Boateng amekutwa kafariki katika apartment yake...

READ MORE

Nai Awakataa Gigy, Amber Lulu

VIDEO Vixen matata na msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Nairath Ramadhani ‘Official Nai’ amefunguka kuwa mtu aliyemleta mjini ni...

READ MORE

Kiba Aweka Kambi Nigeria

MFALME wa muziki wa Bongo Fleva, Alikiba maarufu kama King Kiba, ambaye anafanya vizuri kwa sasa na ngoma yake “Infidèle”...

READ MORE

Marekani Yaiwekea Vikwazo Myanmar

  RAIS wa Marekani, Joe Biden, ametangaza kuidhinisha amri ya kiutendaji ya kuwawekea vikwazo vipya wahusika wa mapinduzi ya kijeshi...

READ MORE

Kikongwe Mwenye Miaka 116 Apona Corona

MWANAMKE mzee zaidi barani Ulaya ambaye ni mtawa mfaransa ameponda Covid-19, siku chache kabla ya siku kuu ya kuzaliwa kwake...

READ MORE