×

Rwandair Yasitisha Safari Zake Sauzi

KAMPUNI ya ndege ya Rwanda, Rwandair, imesitisha kwa muda safari zake katika mataifa ya Afrika Kusini, Zimbabwe na Zambia.  ...

READ MORE

9 Wafa, 150 Hawajulikani Walipo Pande la Barafu Linapoanguka

WATU tisa wamepoteza maisha na wengine zaidi ya 150 hawajulikani walipo baada ya pande kubwa la barafu katika safu ya...

READ MORE

Polisi Yakamata Silaha Haramu 160 Ruvuma

POLISI mkoani Ruvuma imefanikiwa kukamata silaha mbalimbali 160 zinazodaiwa kuwa ni haramu katika kipindi cha Januari hadi Desemba 2020 pamoja...

READ MORE

Utapeli Unavyofanyika Kwenye Usajili Laini za Simu

KUMEKUWA na kasumba ya mawakala wanapofanya usajili wa laini za simu kumtaka mteja kurudia mara kadhaa kuweka alama ya kidole...

READ MORE

Mkuu wa Uchunguzi TAKUKURU Atoa Ushahidi Dhidi ya Kesi ya Gugai

  SHAHIDI ambaye ni Mkuu wa Uchunguzi na Usalama Katika Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Leonard Mtalai...

READ MORE

Saido Hali Yake Bado Tete Yanga

HALI bado ni tete kwa nyota wanne wa kikosi cha klabu ya Yanga, Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’, Yacouba Sogne, Dikson Job...

READ MORE

Msukuma: Miradi ya Mabilioni ya Pesa, Haina Impact kwa Taifa – Video

MBUNGE  wa Geita kupitia CCM, Joseph Kasheku maarufu kama Msukuma, ameshauri mabilioniya fedha  yanayowekezwa na serikali kwenye miradi ambayo haizalishi,...

READ MORE

Apple Music yaja na Isgubhu, Dansi ya Kiafrika

APPLE Music imezindua Isgubhu, ikiwa ni hatua ya kukamilisha taswira halisi ya kile kiitwacho Africa’s Dance and Electronic Music, kwa...

READ MORE

Regina Ataka Ndoa Yake Ifungwe Hospitali

  HABARI ya mjini kwa sasa ni Tamthiliya ya Pazia, inazidi kuwashika mashabiki wa tamthiliya kutokana na kisa chake cha...

READ MORE

Tanzia: Mukhsin Mambo Afariki Dunia

  MWANDISHI wa habari, Mukhsin Mambo, amefariki dunia hii leo Jumatatu, Februari 8, 2021, akiwa nyumbani kwake nchini Marekani. Mambo,...

READ MORE

 Simba Yatenga Bilioni Sita Za Ubingwa

  MAKAMU mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Salim Muhene ‘Try Again’ alisema katika uongozi wa klabu hiyo umekuwa...

READ MORE

Wanaougua Ugonjwa Usiojulikana Chunya Kusafirishwa Bure

  Mkuu wa mkoa Mbeya, Albert Chalamila amemuagiza Mganga Mkuu wa Mkoa huo kuwasafirisha bure wananchi wote wa kijiji cha...

READ MORE

Ebola Yarudi Tena DRC

Shirika la afya ulimwenguni WHO, limesema wafanyakazi wa afya nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamegundua kisa kipya cha virusi...

READ MORE

Fahamu Kuhusu UN PEACE MAKER

MAJESHI ya kulinda amani yamethibitika kuwa silaha bora zaidi ya Umoja wa Mataifa katika kuzisaidia nchi kadhaa kutoka katika matatizo...

READ MORE

Afrika Kusini Yasitisha Chanjo ya Corona (AstraZeneca)

Afrika Kusini imesitisha mipango ya kuanza utoaji chanjo ya Corona (AstraZeneca) na Oxford baada ya utafiti kuonyesha kuwa chanjo hizo...

READ MORE

Michezo Morocco Mabingwa Tena CHAN

Timu ya Taifa ya Morocco usiku wa jana tarehe 7/2/2021 waliibuka mabingwa wa michuano ya CHAN baada ya kuifunga Mali...

READ MORE

Afumaniwa Kitandani na Mke wa ‘Mjeda’

NJEMBA mmoja katika Mtaa wa Kawangware, jijini Nairobi nchini Kenya ametokwa na kijasho chembamba baada ya kunaswa akitafuna asali ya...

READ MORE

Mtendaji Aliyetoweka na Milioni 10 Asakwa

MADIWANI wa Halmashauri ya wilaya ya Uyui Mkoani Tabora wamemwagiza Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hiyo, Hemed Magalu kumsaka Mtendaji wa...

READ MORE

‘Mafuriko ya Damu’ Yazua Gumzo

Kijiji kimoja cha Indonesia kimekumbwa na mafuriko yenye rangi ya damu baada ya maji kuingia katika kiwanda kimoja cha nguo....

READ MORE

Babu Afariki Gesti Akifanya Mapenzi

POLISI  katika kaunti ya Nyandarua nchini Kenya wanachunguza hali iliyosababisha kifo cha mzee mmoja mwenye miaka 58, ambaye ameaga dunia...

READ MORE