×

Polisi Wasindikiza Sanduku la Madini Mahakamani

  WAFANYABIASHARA wawili wa madini, Haji Hassan (52) na Jamas Hassan (55)  wamehukumiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Miaka Mitatu...

READ MORE

Live: FC Platinum 1-0 Simba Ligi Ya Mabingwa Afrika, Uwanja Wa Taifa Zimbabwe

 NI Mechi ya ligi ya mabingwa wa Afrika kati ya, FC PLATINUM vs SIMBASC, unachezwa leo Desemba 23, katika...

READ MORE

Kumekucha Bongo Muvi, Msanii Arudi Bongo Tuzo ya Kimataifa

Kumekucha Bongo Muvi hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia wasanii wa tasnia hiyo jana jioni kufurika Uwanja wa Julius Nyerere kumpokea...

READ MORE

Jembe Jipya Simba Laanza na FC Platinum

  KWA mara ya kwanza Kocha Mkuu wa Simba, Mbelgiji Sven Vandenbroeck anatarajiwa kumtumia kiungo mkabaji Thaddeo Lwanga kwenye mchezo...

READ MORE

FT: Ihefu Sc 0 – 3 Yanga Sc – Ligi Kuu Bara, Uwanja wa Sokoine Mbeya

NI Mtanange wa ligi kuu Tanzania bara kati ya, IHEFU SC vs YANGA SC, unachezwa leo Desemba 23, katika Uwanja...

READ MORE

Simba SC Wapania Kuimaliza FC Platinum

KIUNGO wa Simba, Jonas Mkude, ameapa kula sahani moja na wapinzani wao FC Platinum watakaopambana nao leo katika mchezo wa...

READ MORE

VIDEO: MC Pilipili Aliza Watu Kwenye Ibada Ya Kuuaga Mwili Wa Mama Yake

 MWILI wa Mama wa Msanii, Mc Pilipili, umefanyiwa ibada ya mazishi leo Desemba 23, 2020 na unatarajiwa kuzikwa katika...

READ MORE

Shamsa, Amwomba Radhi Chidi Mapenzi Madongo Aliyomrushia

  MSANII wa Bongo Movie, Shamsa Ford, amevunja ukimya na kuamua kusamehe yale yote aliyokosana na aliyekuwa mume wake, Chidi...

READ MORE

Yanga Tunamaliza Mzunguko na Rekodi Leo

 UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa utaendelea kupambana kulinda rekodi zake ndani ya Ligi Kuu Bara kwa kucheza mchezo wao...

READ MORE

Ticha J; Waziri Anayezidi Kutusua Kisiasa, ni Mtoto wa Mamalishe

JUMAA Hamidu Aweso ni mojawapo ya mawaziri vijana zaidi katika Baraza la Mawaziri lililotangazwa hivi karibuni na Rais John Magufuli....

READ MORE

WHO Yatuliza Hofu ya Virusi Vipya vya Corona

SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limesema hakuna sababu ya watu kuwa na wasiwasi mkubwa kwa kuwa ni kawaida ya virusi...

READ MORE

Meneja wa Rubby – Hamish – Azikwa Kisutu – Video

ALIYEKUWA Meneja wa msanii wa Bongo Fleva, Ruby,  aitwaye Hamish ambaye wikiendi iliyopita alifariki dunia baada ya kupata ajali ya...

READ MORE

Ndugai: Kukaa Kijiweni, Kusubiri Ajira za Serikali Mtazamo Hasi

SPIKA Job Ndugai amewataka vijana kuacha fikra potofu ya kusubiri kuajiriwa na serikali, badala yake watumie fursa zilizopo kuibua miradi...

READ MORE

JPM Amteua Sivangilwa Mwengesi Kamishina wa Maadili

RAIS John Magufuli, leo, Desemba 23, 2020, amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani, Sivangilwa Mwangesi kuwa Kamishna wa Sekretarieti ya...

READ MORE

Live: Mwili wa Dkt. Ng’wandu Waagwa Lugalo

  MWILI wa aliyewahi kuwa Mbunge wa zamani wa Jimbo la Maswa na  Waziri, Dkt Pius Yasebasi  Ng’wandu, umeagwa leo...

READ MORE

Yondani Atua Polisi Tanzania

Aliyekuwa beki wa Yanga, Kelvin Yondani baada ya kukaa nje nusu msimu aamejiunga na Polisi Tanzania kwa mkataba wa miezi...

READ MORE

Simba Yapiga Chini Bonge la Kiungo

BODI ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba, imesitisha mipango ya kumsajili kiungo mkabaji wa Plateau United ya nchini Nigeria, Isah...

READ MORE

Dalali: Wanachama Wamenipa Milioni Nigombee Simba

ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Simba, Hassan Dalali, amesema kuwa, wanachama zaidi ya 50 wamemfuata kumtaka kuwania nafasi ya uenyekiti ndani...

READ MORE

Yanga Yaifukuzia Rekodi Simba

BAADA ya ushindi wa mabao 3-1 walioupata Yanga katika mchezo uliopita wa ligi dhidi ya Dodoma Jiji, unaambiwa timu hiyo...

READ MORE