×

Bucha ya Kwanza ya Nyamapori Nchini Yafunguliwa

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi  ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA), Meja Jenerali Mstaafu Hamis Semfuko, leo Desemba 20,...

READ MORE

Abiria Kutoka Uingereza Wapigwa Marufuku Ulaya

Tangu hapo jana Jumapili, mataifa kadhaa ya Umoja wa Ulaya yamekuwa yakipiga marufuku kuingia kwa ndege za abiria zinazotokea nchini...

READ MORE

Shilole Aanika Ndinga Yake Mpya “Sijahongwa” – Video

MSANII wa Bongo Fleva na Mjasiriamali, Zuweza Mohammed maarufu kwa jina la Shilole ama Shishi Baby ameonyesha ndinga yake mpya...

READ MORE

Tumepiga Hatua Kujenga Mazingira Bora ya Uwekezaji Nchini

Mwaka wa 2020 unaelekea ukingoni na ni kawaida yetu binadamu kufanya tafakari ya nini tumefanya kwa mwaka tunaomalizia na kuweka...

READ MORE

Mwili wa Baba Jokate Ulivyoagwa Dar Leo

Mwili wa Baba Mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani Jokate Mwegelo, leo uliagwa na waombolezaji kwenye ibada...

READ MORE

Jeshi la Polisi Laipongeza SGA kwa Kuwajali Wafanyakazi

SGA Security, ambayo ni kampuni inayoongoza na kongwe ya binafsi ya ulinzi Tanzania imepogezwa na Jesi la Polisi kwa namna...

READ MORE

Simanzi Nzito! Mwili wa Baba Jokate Waagwa Kanisani – Video

IBADA ya kuaga mwili wa baba wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo, Mzee Urban Costantine Ndunguru, aliyefariki dunia...

READ MORE

Diamond, Nandy, Rayvanny Wang’ara Tuzo Marekani

WASANII watatu  nchini, Nasibu Abdul ‘Diamond’,  Faustina Mfinanga ‘Nandy’ na  Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’, usiku wa Desemba 20, 2020,  wamefanikiwa kuipeperusha...

READ MORE

Bichuka: Mkongwe wa Sikinde Anayeshambuliwa na Maradhi, ‘Nisaidieni’

MWIMBAJI Mkongwe aliyeitumikia Bendi ya Sikinde kwa miaka mingi, Hassan Bichuka, ameeleza Watanzania kupitia Global TV Online kuwa maradhi aliyoyapata...

READ MORE

Kampuni Yalipwa Mamilioni Kulinda Biden Akiapishwa

RAIS Mteule wa Marekani, Joe Biden anatarajiwa kulindwa na kampuni maalum ya ulinzi ambayo italipwa mamilioni ya fedha kwa ajili...

READ MORE

Kufuru ya Pesa…. Maisha ya Mondi Hatarini!

UNAPOTAJA jina la mwanamuziki mkubwa barani Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kutoka Tanzania, akili za wengi zinakimbilia kwenye kufuru zake...

READ MORE

Sadiki Momba na Baina Mazola Walivyotoana Kijasho Ulingoni

Bondia Baina Mazola na Sadiki Momba usiku wa kuamkia leo walitoana kijasho ulingoni kwenye mpambano wa raundi nane usiokuwa wa...

READ MORE

Wasanii wa Kike Waliotikisa 2020

WAKATI tukielekea ukingoni kabisa mwa mwaka 2020, wapo wasanii wengi wamefanya vizuri kwa mwaka huu ambapo nyimbo zao zimesikilizwa zaidi...

READ MORE

Kajala Avunja Ukimya Kumpa Penzi Harmo

STAA mkali wa filamu, Kajala Masanja amevunja ukimya kwa kukanusha madai mazito ya kutoka kimpenzi na msanii wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Tanasha: Mondi Ameanza Kutoa Matunzo

MZAZI mwenza wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna amesema kuwa, jamaa huyo sasa ameanza kutoa...

READ MORE

Man U Yaishushia Mvua ya Mabao Leeds Utd, Yaipiga 6-2

TIMU ya  Manchester United, jana usiku Desemba 20, 2020,  ilifanikiwa kupata ushindi mzito wa mabao 6-2 dhidi ya Leeds United,...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Desemba 21, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Desemba 21, 2020. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

NMB Yafanikisha Kutengeneza Ajira kwa Wahitimu Vyuo Vikuu

Benki ya NMB imefanikiwa kutengeneza fursa za ajira kwa wahitimu wa vyuo vikuu zaidi ya 50 kupitia programu yake maalumu...

READ MORE

Sheikh Mwaipopo Ajitosa Kuwanusuru Watoto Yatima – Video

SHEHE Mwaipopo amejitosa na kuandaa Kongamano kubwa la funga mwaka kwa ajili ya kuwasaidia watoto yatima ambao wamekuwa wakiishi katika...

READ MORE