×

Diamond, Zuchu, Rayvanny… Walivyowasili Kahama – Video

WANAMUZIKI kutoka Wasafi Classic Baby (WCB) wakiongozwa na CEO, Diamond Platnumz, wamewasili salama Kahama mkoani Shinyanga usiku wa kuamkia Novemba...

READ MORE

Yusuph Mhilu: Tumeanza Kujenga Hali ya Kujiamini

YUSUPH Mhilu mshambuliaji namba moja ndani ya kikosi cha Kagera Sugar kinachonolewa na Kocha Mkuu, Meck Mexime amesema kuwa taratibu...

READ MORE

Ijue Global Group Ilipotoka na Ilipo Sasa Kwenye Ulimwengu wa Kidijitali

KAMPUNI ya Global Group inamiliki, miongoni mwa makampuni mengine, chombo cha habari chenye nguvu na umaarufu, ndani na nje ya...

READ MORE

Mganda Atajwa Kuwa Mbadala wa Fraga Simba

  TADEO Lwanga, kiungo anayecheza soka la kulipwa nchini Misri ndani ya Klabu ya Tanta anatajwa kuingia kwenye rada za...

READ MORE

“Tupinge Ukatili Wa Kijinsia, Mabadiliko Yanaanza na Mimi”

Maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia yameanza Novemba 25 ambapo yatadumu hadi Disemba 10, mwaka huu. Wanaharakati...

READ MORE

BAWACHA Waandamana Wataka Mdee, Wenzake Watimuliwe

BARAZA la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) wameandamana katika ofisi za makao makuu ya chama hicho zilizopo...

READ MORE

Tecno Camon 16 Waja na Zawadi Kwa Wateja Ikinogeshwa na App ya Vskit

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Tecno katika kuelekea msimu wa Sikukuu ya Krismasi imekuja na ofa kabambe kwa wateja...

READ MORE

Nafasi za kazi 6 MDH , Afisa Takwimu

  JOB TITLE: Data Officer (06 Positions) WORK STATION:  Ilala, Temeke and Kigamboni Municipal Councils REPORTING TO: Health Facility In-charge...

READ MORE

Infinix Yatangaza Washindi Wa Promosheni Ya NOTE 8.

Infinix kuendelea kuwafaidisha wateja wake na promosheni ya Infinix NOTE 8 #Kasikazini. Promosheni hii ilizinduliwa sambamba na simu mpya ya...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Novemba 27, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Novemba 27, 2020. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Kipigo cha Yanga Chamfukuzisha Kazi Kocha Azam

ARISTICA CIOABA amefutwa  kazi ndani ya Azam FC msimu wa 2020/21 kutokana na matokeo mabaya aliyopata hivi karibuni.   Uongozi...

READ MORE

Mateso ya Mama Huyu Usisikie

DAR: Ama kweli ukijiona una shida wenzako wanashida kwelikweli ambazo wewe ndiye unayetakiwa kuwasaidia. Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mateso...

READ MORE

Miili 103 Yagundulika Kwenye Kaburi la Halaiki

Kulingana na taarifa iliyochapishwa na vyombo vya habari vya nchi, Ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa Serikali ilisema kwamba miili 103...

READ MORE

Simulizi Mfungwa Aliyempora Askari Bunduki ‘SMG’

NJOMBE: Ni ujasiri ulioje? Kijana, Isaack Kawogo (24) ambaye alikuwa mfungwa, amefanya tukio lililowaacha wengi midomo wazi la kumpora Askari...

READ MORE

Mwanaume Aliyedaiwa Kufa ‘Afufuka’

Mwaume mmoja kutoka Kaunti ya Kericho nchini Kenya amewashangaza wengi na kuibua gumzo mitandaoni baada ya kudaiwa kufufuka akiwa katika...

READ MORE

Jay Z Aanza Rasmi Biashara ya Bangi

Moja ya kuifahamu leo November 26, 2020 ni Mwanamuziki maarufu nchini Marekani Jay-Z ametajwa kama ‘Afisa Mkuu mpya wa kampuni...

READ MORE

Sugu: Tulia Aachane na Sugu

Aliyekuwa mbunge waJjimbo la Mbeya Mjini, kupitia CHADEMA, Joseph Mbilinyi ‘Sugu‘, amesema yeye hana mamlaka ya kumkabidhi ofisi mbunge wa...

READ MORE

Kisukari Tishio Kuliko Ukimwi

WAKATI Ukimwi ukiwa ni moja ya magonjwa yanayoogopwa na watu wengi duniani, imebainika kuwa ugonjwa wa kisukari ndio unaoua watu...

READ MORE

Polisi Yagizwa Kuwasaka Waliowapa Mimba Wanafunz 451

Serikali mkoani Mwanza imeliagiza jeshi la Polisi mkoani humo, kuwasaka na kuwafikisha katika vyombo vya sheria, watu wanaotuhumiwa kuwapa ujauzito...

READ MORE