×

Zitto Kabwe Chali Ubunge Kigoma Mjini

Msimamizi wa Uchaguzi katika Jimbo la Kigoma Mjini amemtangaza Kirumbe Ng’enda wa CCM kuwa Mshindi wa Ubunge wa Jimbo hilo...

READ MORE

Shigongo Ashinda Ubunge Buchosa – Video

MSIMAMIZI  wa uchaguzi Jimbo la Buchosa, Crispin Luanda,  leo Oktoba 29, 2020, amemtangaza mgombea ubunge wa Jimbo la Buchosa kwa...

READ MORE

Prof. Jay Ashindwa Ubunge

MSANII wa Bongo Fleva nchini, Joseph Haule maarufu kama Profesa Jay,  wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameshindwa kutetea...

READ MORE

Tabasamu Ashinda Ubunge Sengerema – Video

MSIMAMIZI  wa uchaguzi jimbo la Sengerema, Magesa Mafuru, leo Oktoba 29, 2020, amemtangaza mgombea ubunge wa Jimbo la Sengerema, Hamis...

READ MORE

Mwamuzi Shomari Lawi Afungiwa Miezi 12

MWAMUZI Shomari Lawi leo Oktoba 29, 2020 amefungiwa miezi 12 kwa kushindwa kuumudu mchezo namba 50 wa Tanzania Prisons FC...

READ MORE

Prof. Mkenda Amburuza Selasini Rombo – Video

MSIMAMIZI wa uchaguzi wa Jimbo la Rombo, Godwin Chacha, amemtangaza Profes  Adolf Mkenda wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi...

READ MORE

Jesca Amsambaratisha Mch. Msigwa Iringa Mjini

MSIMAMIZI wa uchaguzi Jimbo la Iringa Mjini amemtangaza mgombea ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),...

READ MORE

Morrison Afungiwa Mechi Tatu Ligi Kuu, Apigwa Faini

Mchezaji wa Simba SC, Bernard Morrison amepigwa faini ya Tsh. 500,000 na kufungiwa mechi 3 kwa kosa la kumpiga ngumi...

READ MORE

Tundu Lissu Apinga Matokeo ya Uchaguzi

  MGOMBEA wa urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, ametangaza kutokubali matokeo ya uchaguzi yanayoendelea kutangazwa...

READ MORE

Live Updates: Matokeo ya Urais Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeanza kupokea na kutangaza matokeo ya kura za urais zilizopigwa jana Oktoba 28, 2020....

READ MORE

Ester Matiko Ashindwa Ubunge Jimbo la Tarime Mjini

Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Tarime Mjini, Ester Matiko ameshindwa kutetea nafasi yake baada ya kushindwa na mshindani wake, Michael...

READ MORE

Simba Yapangua Benchi la Ufundi

Klabu ya soka ya Simba imetoa taarifa kwa umma kuwa kwa makubaliano ya pande zote mbili imeachana rasmi ba kocha...

READ MORE

Faiza Amtuliza Sugu Baada ya Kushindwa Ubunge

MFANYABIASHARA Faiza Ally amempa moyo na kumuunga mkono aliyekuwa mpenzi wake wa zamani na baba mtoto wake, Joseph Mbilinyi ‘Mr...

READ MORE

Breaking: Waitara Ambwaga Heche Tarime Vijijini

MSIMAMIZI wa uchaguzi katika Jimbo la Tarime Vijijini amemtangaza Mwita Waitara wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi wa ubunge...

READ MORE

Hawa Ghasia (CCM) Ashindwa Ubunge, CUF Yaibuka Kidedea

Shamsia Mtamba kupitia CUF, ametangazwa ameshinda jimbo la Mtwara Vijijini baada ya kuibuka kidedea kwa kura 26,262, dhidi ya mpinzani...

READ MORE

CCM Yashinda Ubunge Mtwara Mjini

HASSAN SELEMAN wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameshinda ubunge Mtwara Mjini kwa kupata kura 22,411 akifuatiwa na mgombea wa Chama...

READ MORE

Katambi Ashinda Ubunge Shinyanga Mjini

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Shinyanga Mjini Mkoani Shinyanga amemtangaza Patrobas Katambi wa CCM kuwa Mshindi wa kiti cha Ubunge...

READ MORE

Mkuchika Ashinda Ubunge Newala Mjini

MSIMAMIZI wa Uchaguzi Jimbo la Newala Mjini, Mkoani Mtwara,  amemtangaza Kapteni Mstaafu, George Huruma Mkuchika wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...

READ MORE

Anna Lupembe Wa CCM Ashinda Ubunge Jimbo la Nsimbo, Katavi

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Nsimbo, Mohamed Ramadhani, amemtangaza Ana Lupembe wa CCM kuwa mshindi wa kiti cha ubunge jimbo...

READ MORE

Mwanyika Ashinda Ubunge Njombe Mjini – Video

MSIMAMIZI wa Uchaguzi katika Jimbo la Njombe Mjini amemtangaza Deodatus Philip Mwanyika wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi wa...

READ MORE