×

Meneja wa Infinix Aeleza Hot 10 Inavyoendelea Kutamba Sokoni

KAMPUNI ya simu, Infinix Mobility LTD inayotamba na toleo jipya aina ya Infinix HOT 10 imeendelea kuongeza mashabiki kupitia kampeni...

READ MORE

Faida ya Benki ya NMB Yapanda kwa Asilimia 76 kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka 2020

Benki ya NMB imepata ongezeko la asilimia 76 la faida kabla ya kodi kwa kipindi kilichoishia Septemba 30, 2020. Kwa...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Oktoba 27, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Oktoba 27, 2020. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Azam Wachezea Kichapo Mbele Ya Mtibwa

Azam Fc baada ya kuanza vizuri kwa kushinda mechi zote saba za ligi kuu bara, leo matajiri hao wa jiji...

READ MORE

Simba ‘Wapapaswa’ na Ruvu Shooting

Timu ya Simba imekubali kufungwa  kwa mara ya pili mfululizo kwenye Ligi Kuu ya Vodacom,  kwenye Uwanja wa Uhuru kwa...

READ MORE

Simiyu: Minada Yasitishwa Kupisha Uchaguzi

MKUU wa mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka, amesitisha minada na magulio yote mkoani humo siku ya uchaguzi mkuu ya Oktoba...

READ MORE

JPM Awaambia Wapiga Kura: Hamchagui Malaika – Video

MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, (CCM), Dkt. John Magufuli, amesema kuwa anatamani taifa la Tanzania liendelee kuheshimika zaidi duniani...

READ MORE

JPM Kuendelea Kujenga Makanisa Chamwino – Video

RAIS Dkt John Magufuli, leo Oktoba 26, amezindua msikiti uliopo Chamwino mkoani Dodoma, ambapo tukio hilo limeshuhudiwa na Mufti mkuu...

READ MORE

Joti Aula Tigo Ikizindua Kampeni ya ‘Jaza Tukujaze Tena’

DAR ES SLAAM leo Jumatatu, 26 Oktoba 2020 Kampuni ya mawasiliano inayoongoza kwa kutoa huduma za kidigitali nchini Tanzania, Tigo,...

READ MORE

Obama Amvaa Rais Trump

RAIS wa zamani wa Marekani, Barack Obama, amemkosoa vikali Rais Donald Trump na serikali yake  jana juu ya namna alivyoshughulikia...

READ MORE

#LIVE Kanisani: Mwili wa Elisha Elia Waagwa Dar

MWILI wa mtangazaji, Elisha Elia, umetolewa katika hospitali ya Taifa Muhimbili, na kufikishwa nyumbani kwao Tabata Segerea kwa ajili ya...

READ MORE

Kamanda Muslim Aanika Chanzo cha Ajali ya Ngara

  Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, Fortunatus Muslim, leo Oktoba 26, 2020 amesema uchunguzi wa jeshi hilo umebaini...

READ MORE

Askofu Ruwa’ichi Aipongeza ACB Kuiwezesha Shule ya Mary Mother of Mercy

MHASHAMU Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu Dar es Salaam, Jude Thadeus Ruwa’ichi ameipongeza Benki ya ACB na wadau...

READ MORE

Conde Atangazwa Mshindi Katika Uchaguzi Mkuu

Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Guinea, jana Oktoba 25, 2020 imemtangaza Rais Alpha Conde kuwa mshindi katika uchaguzi mkuu...

READ MORE

Mobetto Afunguka, Sijui Kuimba?

Msanii wa BongoFleva na filamu, Video Vixen, Mjasiriamali Hamisa Mobetto amevunja ukimya kwa kusema yeye sio mtu wa kukata tamaa...

READ MORE

Live: Mwili wa Elisha Elia Watolewa Muhimbili Kwenda Kuagwa

MWILI wa mtangazaji Elisha Elia, umetolewa katika hospitali ya Taifa Muhimbili, na kufikishwa nyumbani kwao Tabata Segerea kwa ajili ya...

READ MORE

Novatus Dismas: Nimetimiza Ndoto ya Kucheza na Samatta Ulaya

BAADA ya kufanikiwa kulamba dili la kusajiliwa na Klabu ya Macabi Tel Aviv inayoshiriki Ligi Kuu Israel kiungo kinda aliyekulia...

READ MORE

Mbowe: Lissu Atakuwa Rais, Mimi Waziri Mkuu

Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema ndani ya saa 72 zijazo, mgombea wao wa Urais, Tundu Lissu anakwenda...

READ MORE

Kiongozi wa Al-Qaeda Auawa Afghanistan

VIKOSI maalum vya Afghanistan vimemuua kiongozi muhimu wa kundi la Al-Qaeda ambaye pia alikuwa akitafutwa na Serikali ya  Marekani, idara...

READ MORE