×

Wahitimu Victory Sekondary Walivyoonesha Uskauti Mbele ya Wazazi

Wanafunzi wanaohitimu kidato cha nne katika shule ya Sekondari Victory iliyopo mkoani Pwani wameonyesha umahiri wao kwa kucheza michezo mbalimbali...

READ MORE

House Girl Anaswa Akitaka Kusafirisha Dawa za Kulevya Nje ya Nchi

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini inawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kutaka kusafirisha dawa za...

READ MORE

Dk.Shein Azindua Rasmi Jengo La Abiria Uwanja Wa Ndege Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein amezindua rasmi jengo jipya la...

READ MORE

Afariki Gesti Baada ya Kuzini na Shemeji

POLISI jijini Nairobi nchini Kenya, wanafanya uchunguzi wa mwanamke mmoja aitwaye Jesca Sibwe mwenye umri wa miaka 42, ambaye amefariki...

READ MORE

Dada wa Usafi Anaswa na Dawa za Kulevya – Video

MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini imemkamata Maria Edson Mtambo (25) Mnyiha na mkazi wa Tegeta...

READ MORE

TFF Yakemea Mashabiki Yanga Kuwashambulia Simba

SHIRIKISHO  la Soka Tanzania (TFF) limetoa tamko likikemea kitgendo cha mashabiki wa Yanga SC kuwafanyia fujo mashabiki wa Simba SC...

READ MORE

🔴#LIVE: Magufuli Atua Iringa, Aendelea Kuwasha Moto

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi, Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 28, Septemba...

READ MORE

Bodi ya Ligi Yaufunga Uwanja wa Jamhuri Moro

BODI ya Ligi  nchini imeufungia Uwanja wa Jamhuri wa mjini Morogoro hadi utakapofanyiwa marekebisho katika maeneo matatu ambayo ni: eneo...

READ MORE

Lissu Akana Kupokea Wito NEC

MGOMBEA urais kupitia, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amesema kuwa hajapokea malalamiko yoyote kutoka Tume ya Taifa...

READ MORE

Mkakati Kukifuta Chama cha Bobi Wine Watua Kortini

MWANASIASA wa upinzani nchini Uganda anayemtikisa Rais Yoweri Museveni amejikuta akipigania mchakato wa kuwa kwenye karatasi ya kura, baada ya...

READ MORE

Mwambusi: Yanga Itampiga Mtu 10

KOCHA Msaidizi wa Yanga, Juma Mwambusi, amesema pamoja na benchi la ufundi kukaa na timu kwa takribani siku 20, mabadiliko...

READ MORE

Mauaji Kada wa CCM Njombe, JPM Aagiza…

  RAIS wa Tanzania na mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),  John Magufuli,  ametuma salamu za pole na ubani...

READ MORE

Uchebe Sasa Kocha Black Leopards Sauz

  PATRICK AUSSEMS  aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba SC, ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Black Leopards inayoshiriki Ligi...

READ MORE

NMB Yapongezwa Kwa Kutoa Ahueni Wakati wa COVID-19

  Serikali na wadau mbalimbali wameipogeza Benki ya NMB kwa msaada wake mkubwa wakulisaidia Taifa na wateja wake kukabiliana na...

READ MORE

Wema Ajipunguzia Umri, Sikuzaliwa 1988

  MALKIA wa Bongo Movies, Wema Sepetu,  amekiri kutoa taarifa zisizo za kweli kuhusu  mwaka wa kuzaliwa kwake na umri...

READ MORE

Kigogo TRA Kizimbani Tuhuma za Rushwa Sh Mil. 1.5

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Wilaya ya Nzega mkoani Tabora, imemfikisha mtumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania...

READ MORE

Nandy Afunguka Ukweli Wote Kunasa Mimba ya Billnas

MREMBO anayefanya poa kwenye Bongo Fleva, Faustine Charles ‘Nandy’, ameweka wazi kuwa hana ujauzito ila mwili wake umeongezeka kwa sababu...

READ MORE

Yanga Yalaani Mashabiki Wake Kuwapiga Mashabiki wa Simba Moro

KLABU ya Yanga imelaani kitendo cha baadhi ya mashabiki wake mkoani Morogoro waliowafanyia fujo baadhi ya mashabiki wa Simba SC...

READ MORE