×

Kisa Lockdown, Mgahawa Unaofanana na Ndege Watengenezwa

WAKATI nchi nyingine zikiwa chini ya lock-down kupisha janga la homa inayoambukizwa na virusi vya corona — Covid-19 —  nchini...

READ MORE

Magufuli: Nimealikwa Kwenda Ulaya, Siendi – Video

MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa kazi ya urais si nyepesi,...

READ MORE

Amshitaki Mkewe kwa Kumzalia Watoto Wenye Sura Mbaya

GAZETI la mtandaoni la KINEDA limeripoti habari yenye msisimko wa kipekee, ambapo mwanamme mmoja aitwaye Jian Feng, amemshitaki mkewe kwa...

READ MORE

Gwajima: Mimi si Kilaza, Sijaja Kuganga Njaa

Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kawe, Dar es Salaam kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Askofu Josephat Gwajima amesema mwaka jana...

READ MORE

Breaking: Watoto 10 Wafariki Shule ya Byamungu Islamic Ikiteketea

BWENI la wavulana wa Shule ya Msingi Byamungu Islamic English Medium iliyopo Itera, Kyerwa, mkoani Kagera limeteketea kwa moto usiku...

READ MORE

Jose Mourinho, Klopp Waungana

BOSI wa Tottenham, Jose Mourinho amemuunga mkono kocha wa Liverpool Jurgen Klopp kwa kuzishangaa timu ambazo zinatumia kiasi kikubwa cha...

READ MORE

Carlinhos, Lamine Waizamisha Mbeya City Uwanja wa Mkapa

YANGA jana imepata ushindi wa jioni wa bao 1-0 dhidi ya Mbeya City kwenye mechi ya Ligi Kuu Bara iliyopigwa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la IjumaaWikienda   kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania...

READ MORE

Paul Pogba Hatihati Kuivaa Crystal Palace

KIUNGO wa Manchester United, Paul Pogba amerejea katika mazoezi ya kikosi hicho baada ya kuwa nje, lakini kuna uwezekano mkubwa...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Septemba 14, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 14, 2020 Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda Amnadi Dkt. Kimei Jimbo La Vunjo

MGOMBEA Ubunge wa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jimbo la Vunjo Dkt .Charles Kimei jana Jumamosi amewaomba wananchi wa...

READ MORE

Watu 50 Wahofiwa Kufa kwa Kufukiwa na Kifusi Machimboni

Zaidi ya watu 50 wanahofiwa kupoteza maisha, baada ya kufukiwa na kifusi wakiwa kwenye machimbo ya dhahabu katika eneo la...

READ MORE

Umati Ulivyofurika Uzinduzi wa Kampeni Za Fella Kilungule, Wasanii Kibao

Meneja wa msanii wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platniumz’ jana alisababisha mafuriko makubwa ya watu wakati akizindua kampeni zake...

READ MORE

NEC: Rufaa Za Wagombea Ubunge Na Udiwani Leo

Tume ya Taifa Uchaguzi imepitia, kuzichambua na kuzifanyia uamuzi rufaa za wagombea Ubunge na Udiwani zilizowasilishwa na wagombea kupitia kwa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra  na Gazeti la Amani kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Wanahisa Waongeza Mtaji Mkombozi Commercial Bank, Wateja Waula

Benki ya Mkombozi Commercial  inayomilikiwa na Kanisa Katoliki pamoja na wanahisa yenye Makao Makuu Msimbazi Center Jijini Dar, jana Septemba...

READ MORE

Video Mpya: Jah Master – Hello Mwari Remix ft. Haitham Kim

 Msanii wa Bongo Fleva, Haitham Kim amefanya vizuri sana kwenye video ya wimbo wa ‘HelloMwari Remix’ aliyoshirikishwa na msanii...

READ MORE

JPM na Museveni Wasaini Mkataba Ujenzi Mradi wa Bomba la Mafuta -Video

  Rais John Magufuli wa Tanzania na Rais Yoweri Museveni wa Uganda  leo  Septemba 13, 2020 wamesaini makubaliano ya kuanza...

READ MORE

Kazi Ndo Imeanza Yanga, Leo Kukipiga na Mbeya City

KAZI ndiyo imeanza kwa Kocha Mkuu wa Yanga, Zlatko Krmpotic raia wa Serbia kuirudisha timu hiyo kwenye furaha kwa kuanza...

READ MORE