×

Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi, Agosti 8, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 8, 2020 Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Chama Mchezaji Bora VPL, Simba Yang’ara Tuzo za VPL

CLATOUS Chama, kiungo bora wa msimu wa 2019/20 anayekipiga ndani ya Klabu ya Simba leo kwenye kilele cha Tuzo za...

READ MORE

Mahaba ya Mzee Yusuf na Mkewe Wakipafomu Dar Live – Video

IKIWA ni miaka kadhaa imepita akiwa nje ya sanaa ya muziki, hatimaye mfalme wa Taarab, Mzee Yusuf na kundi lake...

READ MORE

Wasiojulikana Wamuua Mjumbe – Video

MWANZA: Wakati mchakato wa kupitisha majina ya wagombea ubunge kupitia CCM ukizidi kushika kasi, ‘watu wasiojulikana’ wanadaiwa kumteka na kumuua...

READ MORE

Baba Abariki Sure Boy Kutua Yanga

BABA mzazi wa kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar ‘Sure Boy’, Abubakar Salum amesema ni muda muafaka kwa mwanaye kukipiga...

READ MORE

Usajili Mwingine Mkubwa Yanga Unakuja Wa Kimataifa

MKURUGENZIUwekezaji wa GSM, Injinia Hersi Said ni kama amewatisha wapinzani wao Simba baada ya kutoa kauli kuwa baada ya kufanikisha...

READ MORE

Vyama vya Upinzani Vyagombania Rangi Nyekundu

VYAMA viwili vya upinzani nchini Uganda vimeingia katika mzozo juu ya haki ya kutumia rangi nyekundu huku kila chama kikidai...

READ MORE

Aliyemuua Mtoto Wake kwa Panga Ahukumiwa Kunyongwa Hadi Kufa

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Bukoba imemuhukumu kunyongwa hadi kufa Melchedes Burchard (30) mkazi wa Kiluluma mkoani Kagera kwa kukutwa na...

READ MORE

Membe Achukua Fomu ya Urais NEC

Mgombea wa kiti cha Urais kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo Bernard Membe amechukua fomu ya kuwania Urais wa...

READ MORE

Mgombea Urais ADC, Queen sendiga Achukua Fomu NEC

  Mgombea kiti cha Urais kwa tiketi ya Allance for Democratic Change ADC Queen sendiga akiwa na mgombea mwenza Shoka...

READ MORE

Azam Rasmi Yamruhusu Sure Boy Kutua Yanga

RASMI uongozi wa Azam FC umekubali kumruhusu kiungo wao mkongwe fundi, Salum Abubakary ‘Sure Boy’ kujiunga na Yanga kwenye msimu...

READ MORE

Albamu Mpya ya Burna Boy Inatengenezwa na P Diddy

Star wa Muziki wa Nigeria, Burna Boy anajiandaa kuileta album yake mpya “Twice as Tall” na ameweka wazi kuwa album...

READ MORE

Sheikh Majini: Lissu Tumia Maneno ya Busara

MTABIRI na mtaalamu wa visomo na dua, Sheikh Sharrif Majini, amemtaka mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo  (Chadema),...

READ MORE

Maambukizi Virusi vya Corona Afrika Yafikia Milioni 1

ZAIDI ya watu milioni moja wameambukizwa virusi vya Corona barani Afrika.   Kwa mujibu wa takwimu za shirika la habari...

READ MORE

NCCR-Mageuzi Yateua Wagombea Urais – Video

VYAMA vya siasa nchini Tanzania vimeendelea kupitisha majina ya wagombea urais katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2020, hatua ambayo...

READ MORE

Kisa Barakoa; Wananchi Waadhibiwa Usiku Uwanjani

BAADHI ya wananchi wa Rwanda wamejikuta katika wakati mgumu baada ya kupewa adhabu ya kukaa saa kadhaa na kusikiliza hotuba,...

READ MORE

Mrembo Afariki Akipiga Picha Kwenye Maporomoko

MWILI wa mrembo Jemima Oresha aliyetumbukia katika maporomoko ya Thompson Falls Nyahururu nchini Kenya, umeopolewa juzi Jumatano, Agosti 5, 2020...

READ MORE

Ujio Wa Kocha Mpya Yanga, Ripoti Kamili Hii Hapa

BAADA ya kutambulisha vifaa vyao vipya ambavyo watavitumia kwa msimu ujao akiwemo beki Bakari Mwamnyeto, mabosi wa Yanga, wiki ijayo...

READ MORE

Ligi ya Mabingwa Yarejea, Robo Fainali Kupigwa leo na Kesho

Michuano mikubwa ya soka Ulaya, inarejea wikiendi hii baada ya mapumziko ya miezi mitano na Meridianbet kama mtayarishaji amefanya la...

READ MORE

Abbas: Miaka 5 ya JPM, Pato Limekua Kwa Kasi – Video

MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas leo Agosti 7, 2020, ame pato la taifa limekua kwa kasi kutokana na shughuli...

READ MORE