×

Sven: Yanga? Ngojeni

KIWA imebaki wiki moja kabla ya Simba na Yanga hazijapambana katika mchezo wa nusu fainali wa Kombe la FA, Kocha...

READ MORE

Sababu Tanasha Kutoenda Msiba wa Shammy

HIVI karibuni yameibuka mazito yakimhusisha mzazi mwenza wa mwanamuziki mkubwa barani Afrika, Nasibu Abdul ‘Mondi’, Tanasha Donna, kutohudhuria msiba wa...

READ MORE

Sinema ya Husna Sajenti ‘Kuzaa’ na Mondi Yafikia Patamu!

IKIWA ni wiki kadhaa zimepita tangu kuwepo kwa tetesi kuwa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amezaa...

READ MORE

Dawa ya Corona Madagascar Imebuma? Mji Mkuu ‘Lockdown’

MADAGASCAR imeuweka mji  mkuu wake, Antananarivo,  kwenye ‘lockdown’ mpya kufuatia ongezeko jipya la maambukizi ya Corona Virus ikiwa ni miezi...

READ MORE

Mzee wa ‘Soma Hiyo’ Aacha Kilio Tabora

MIONGONI mwa wakuu wa mikoa walioacha simanzi kwa wananchi waliokuwa wakiwaongoza, ni Aggrey Mwanri ‘Mzee wa Soma Hiyo’ ambaye alikuwa...

READ MORE

Nafasi ya Kampuni za Simu Katika Kukuza Teknolojia Tanzania

Katika miaka ya hivi karibuni, dunia imeshuhudia maendeleo makubwa kwenye sekta ya teknolojia hasa linapokuja suala la matumizi ya simu....

READ MORE

Kocha Athibitisha Niyonzima Kuikosa Simba FA

KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael, leo Jumatatu, Julai 6, 2020, amethibitisha kuwa  kiungo wake Haruna Niyonzima, raia wa Rwanda,...

READ MORE

Mapinduzi Balama Ndio Basi Tena Yanga

NYOTA wa Yanga, Mapinduzi Balama huenda asionekane tena uwanjani hadi msimu huu unamalizika kutokana na jeraha lake la kifundo cha...

READ MORE

JPM Atumbua, Amteua na Kumwapisha Aliyekamata Bangi – Video

RAIS  John Magufuli amemwagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro kuwaondoa kazini mara moja Mkuu wa Polisi...

READ MORE

M/Kiti wa Wakuu wa Mikoa Atoa Wito Mbele ya JPM – Video

RAIS John Magufuli leo Julai 6, 2020, amewaapisha viongozi mbalimbali Ikulu jijini Dodoma.   Katika uapisho huo Mkuu wa Mkoa...

READ MORE

NBC Yadhamini Maonesho Ya Sabasaba Kwa Mwaka wa Tatu Mfululizo

Benki ya Taifa ya Bishara kwa mara nyingine tena imekuwa mdhamini wa maonesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa maarufu...

READ MORE

Rais Magufuli Awaapisha Wakuu wa Mikoa na Ma-DC IIkulu – Video

Leo Julai 6, 2020, Rais Dkt. John Magufuli atawaapisha viongozi wateule wafuatao:- 1. CP. Thobias Andengenye Kuwa Mkuu wa Mkoa...

READ MORE

Wamarekani Wazidi Kuchukizwa, Waliangusha Sanamu la Columbus

KUNDI la waandamanaji nchini Marekani limeangusha sanamu la Christopher Columbus na kulitupa majini kwenye bandari ya mjini Baltimore jana usiku,...

READ MORE

Zitto Aitikisa Ngome ya Prof. Lipumba Kusini

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, ameacha simanzi ndani ya Chama cha Wananchi (CUF), Mkoa wa Mtwara na Lindi. ...

READ MORE

CHADEMA Yakaribisha Kugombea Ambao Hawakutia Nia

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika, ametoa rai kwa wanachama wote wa chama hicho, hata...

READ MORE

Mwanza: Polisi Yazima Tukio la Ujambazi Benki ya CRDB

TUKIO hili limetokea usiku wa Julai 07, 2020, majira ya saa 8.00 za usiku katika Benki ya CRDB, Tawi la...

READ MORE

JPM Ateua DC Wa Mvomero Na Mkurugenzi Wa Biharamulo

Rais Magufuli amemtea aliyekuwa Katibu Tawala Msaidizi mkoani Rukwa, Albinus Mgonya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mvomero akichukua nafasi ya...

READ MORE

Kisa Simba, Wachezaji Yanga Walilipwa Mishahara

MMEKWISHA! Hivyo ndivyo utakavyoweza kusema, ni baada ya uongozi wa Yanga kuwalipa wachezaji wake mishahara ya miezi miwili sambamba na...

READ MORE

Tunda Ataja Chanzo ‘Mapele’ Miguuni

BAADA ya picha zinazomu-onesha kuwa na vipele miguuni kuzua gumzo mitandaoni, muuza nyago kwenye video mbalimbali za wasanii wa Bongo,...

READ MORE