×

Makonda Akagua Ujenzi Stendi ya Mbezi Louis, Atoa Maagizo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amemuelekeza Mkandarasi wa Ujenzi wa Stand mpya ya mabasi ya...

READ MORE

China: Tuhuma na Matamshi ya Marekani Yatasababisha Vita Baridi

China imesema uhusiano baina yake na Marekani unakaribia kiwango cha enzi mpya ya vita baridi, inayochochewa na mvutano kuhusu janga...

READ MORE

Mzungu Yanga ataja sifa 2 kubwa za Ally Niyonzima

  AKIWA nyumbani kwao Ubelgiji, Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael, ametaja sifa mbili alizonazo kiungo Ally Niyonzima zilizomshawishi yeye...

READ MORE

Uchumba wa Lulu Waweka Rekodi

STORI: IMELDA MTEMA, DAR UCHUMBA wa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Mkurugenzi wa EFM na TVE,...

READ MORE

Raia Wageni Kutoka Brazil Wapigwa Marufuku Kuingia Marekani

Marekani imetangaza vikwazo kwa raia wa kigeni kuingia nchini humo wakitokea nchini Brazil, nchi ambayo kwa sasa inaendelea kuandikisha idadi...

READ MORE

Kim Jong-un ‘Kiduku’, Aongoza Kikao cha Nyuklia

Kikao cha kupima uwezo wa kijeshi na silaha za nyuklia za Korea Kaskazini, kilifanyika Jumapili ya jana kwa kuhudhuriwa na...

READ MORE

Marekani: Vifo Vyakaribia Laki 1, Trump Aibukia Gofu Bila Barakoa

Vifo vya corona vinakaribia kufikia Laki moja Marekani ambapo hadi leo asubuhi kuna vifo 99,300, maambukizi pia yanaongezeka. Marekani ina...

READ MORE

Sudan Yataifisha Mali za Tril. 9 za Omar al-Bashir

SERIKALI ya Sudan imetaifisha mali zenye thamani ya $4 bilioni (TZS 9.3 trilioni) kutoka kwa aliyekuwa kiongozi wa nchi hiyo,...

READ MORE

Kibali Chatolewa Kusafirisha Makinikia Nje ya Nchi

  MIAKA mitatu tangu ilipoweka zuio, Serikali ya Tanzania imetoa kibali cha kusafirisha kwenda nje ya nchi makontena 277 yenye...

READ MORE

Chadema: Wenye Ushahidi Ufujaji Fedha Wauweke Hadharani

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimewataka Wabunge wenye ushahidi juu ya tuhuma za matumizi mabaya ya fedha kuuweka hadharani....

READ MORE

Bibi Kizee wa Miaka 107 Apona #Corona

SALTANAT AKBARI mwenye umri wa miaka 107 amepona #COVID19. Alilazwa katika Hospitali ya Khansari iliyopo jijini Arak nchini Iran. Inaelezwa...

READ MORE

Mondi Ashtua Tena na Saa ya milioni 500

DAR : Achana na kufuru nyingine alizowahi kuzifanya huko nyuma, mkali wao kwenye Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameshtua...

READ MORE

AngloGold Ashanti Marks Africa Day and Efforts to Fight COVID-19

  AngloGold Ashanti joins over 1.2 billion Africans across the continent and in the diaspora in marking Africa Day at...

READ MORE

Vanessa, Mchumba’ke Gari Limewaka

  DAR: Mwanadada ambaye mashabiki wake wa Bongo Fleva wanammisi, Vanessa Mdee ‘V-Money’ na mchumba’ke, Olurotimi Akinosho ‘Rotimi’, ndiyo kwanza...

READ MORE

Chuchu Ataja Sababu Kuachana na Filamu

  MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Chuchu Hans amesema sababu iliyomfanya kuachana na filamu ni kutokana na maslahi kiduchu yanayopatikana...

READ MORE

Ukistaajabu ya Wema, Utaona ya Celine Dion

  UKIKUTANA na staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu, bado utakuwa unajiuliza ni nini kilimpata. Kutoka kwenye lile...

READ MORE

Polisi Watanda kwa Diamond

TAHARUKI nzito! Katika hali ya kushangaza, Polisi wamekutwa wametanda nyumbani kwa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na...

READ MORE

Polepole: Uchaguzi wa 2015 Tulichelewa Kuwakata, Mwaka Huu Mapema – Video

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amesema katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015, chama...

READ MORE

Nafasi Ya Kazi ASSISTANT ACCOUNTS OFFICER, Tanzania Revenue Authority (TRA)

POST ASSISTANT ACCOUNTS OFFICER – 4 POST POST CATEGORY(S) ACCOUNTING AND AUDITING EMPLOYER Tanzania Revenue Authority (TRA) APPLICATION TIMELINE: 2020-05-15...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa WikiEnda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani ya nje ya Tanzania...

READ MORE