×

Gari Yagonga Gari, Bajaji na Kuua

Mnamo tarehe 08.06.2020 majira ya saa 10:00 Asubuhi huko eneo la Nzovwe, Kata ya Itende, Tarafa ya Iyunga, Jijini Mbeya...

READ MORE

Amber Lulu Atamani Kuwa Kama Wema

MREMBO mwingine kunako Bongo Flevani, Lulu Eugen ‘Amber Lulu’ anachukizwa na ubonge nyanya alioupata ghafla na sasa anatamani kuwa mwembamba...

READ MORE

Kuna Nyakati Ngumu, Zijue Hatua za Kuchukua!

NI Jumatatu tulivu kabisa, kwa uwezo wake Mola tunakutana kwenye kilinge chetu hiki cha malovee, mahali pekee pa kujifunza kuhusu...

READ MORE

Uchumba wa Wolper ni Aibu ya Milele!

KUNA kipindi kinafika haya maisha tuliyonayo sasa hatutakuwa nayo tena hapo baadaye. Kuna umri unafika, unapoteza kabisa mvuto ulionao sasa....

READ MORE

Maandamano Yazuka London, Polisi Wajeruhiwa Vibaya

MOTO wa maandamano yaliyopewa jina la Black Lives Matter unazidi kuwaka na sasa hali siyo shwari jijini London, Uingereza, ambako...

READ MORE

Brazil Yasitisha Kutangaza Waliofariki kwa Corona

Serikali ya Brazil imetangaza kuanzia sasa haitakuwa ikitangaza idadi ya watu waliofariki kwa corona, baada ya kubaini kuwa hatua hiyo...

READ MORE

Polisi Yavunjwa Marekani Kisa Kifo Cha Floyd

IDARA ya polisi mjini Minneapolis katika jimbo la Minnesota nchini Marekani itafanyiwa mabadiliko makubwa kutokana na kifo cha Mmarekani mweusi,...

READ MORE

Dkt. Mollel Aung’oa Uongozi Hospitali ya Mount Meru

NAIBU  Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Godwin Mollel, ameagiza kuondolewa kwa safu ya uongozi...

READ MORE

Rais Zuma Ammwaga Mchumba wa Miaka 25

ALIYEKUWA Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, anadaiwa kuwa ameachana na mchumba wake mwenye miaka 25, Nonkanyiso Conco. Taarifa kutoka...

READ MORE

‘Mpemba wa Magufuli’ na Wenzake Watakiwa Kupelekwa Mahakamani

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewataka washtakiwa katika kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili mfanyabiashara, Yusufu Ali maarufu ‘Mpemba wa Magufuli’...

READ MORE

Serikali Yaanza Rasmi Kuuza Mafuta

WAZIRI wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, amezindua rasmi biashara ya kuuza na kusambaza mafuta nchini kwa kufungua kituo cha kwanza...

READ MORE

Spika Pelosi Amlima Barua Nzito Trump

SPIKA wa Bunge la Marekani maarufu kama ‘Congress’, Nancy Pelosi amemlima barua nzito Rais Donald Trump kwa kutaka atoe maelezo...

READ MORE

‘Tanzania Mmevunja Rekodi ya Kunawa Mikono’ – Video

UGONJWA wa Covid 19 unaosababishwa na virusi vya Corona umeanza kupungua mashambulizi yake nchini Ukraine na watu wameanza kuruhusiwa kutovaa ...

READ MORE

Zimbwe Aanza Kutamba Simba

NAHODHA Msaidizi wa Simba, Mohammed Hussein ‘Zimbwe Jr’ amet-amba kuwa kikosi chao kipo kamili kutetea ubingwa wao na sasa wamepanga...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania...

READ MORE

Kala Jeremiah Ataja Sababu Za Kumuimba Magufuli

RAPA aliyeibuliwa kwenye Bongo Star Search (BSS), Kala Jeremiah, ametoa sababu ambazo zimefanya amsifu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

Vibonge Yanga Waandaliwa Dozi

DAKTARI wa Yanga, Shecky Mngazija, amesema wachezaji wa timu hiyo walioongezeka uzito na kuwa vibonge wameandaliwa dozi nzito ya mazoezi...

READ MORE

Benki ya NMB Kulipa Gawio la Sh. Bil 48 Mwaka 2019 

  Mkutano Mkuu wa 20 wa Wanahisa wa Benki ya NMB (AGM) umepitisha azimio la kulipa gawio la shilingi Bilioni...

READ MORE