×

Prof. Kabudi: Zambia Haijafunga Mpaka Wake na Tanzania – Video

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi amelieleza Bunge kuwa kwa mujibu wa Serikali...

READ MORE

“Mdude Chadema” Kortini kwa Tuhuma za Kukutwa na Dawa za Kulevya

  JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mpaluka Nyagali Mdude (32) ambaye ni Kada wa CHADEMA Maarufu kwa jina...

READ MORE

Tunda: Sidangi, Corona Haijanizuia Kula Bata

MTOTO wa mjini ambaye jina lake halisi ni Anna Kimario ‘Tunda’ amekuwa kimya, wambea wameanza kuibua maneno oooh, anaishije kipindi...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Alhamisi, Mei 14, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo MEI 14, 2020. Ni yale ya Hard-news, Udaku na Michezo....

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Amani kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la SpotiXtra na Gazeti la Amani kirahisi zaidi popote ulipo, ndani ya nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Teknolojia Inavyotusaidia Kupambana na Kirusi cha Corona

Mlipuko wa homa ya kirusi cha corona umeleta athari nyingi kwa jamii zetu na kuathiri kwa kiasi kikubwa wananchi na...

READ MORE

TOP FIVE TOP MARAPA WAKALI KIZAZI KIPYA BONGO!

MUZIKI wa Hip Hop hapa Bongo ulikuzwa na wakongwe kama Joseph Haule ‘Professor Jay’, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Fareed Kubanda ‘Fid...

READ MORE

Mwamnyeto: Bado Kidogo Tu Nasaini Yanga SC

NAHODHA na beki wa kati wa Coastal Union ya Tanga, Bakari Nondo Mwamnyeto amesema kuwa kama mazungumzo yakienda vizuri, basi...

READ MORE

DC Mjema Apokea Vifaa Kinga Ya Corona Kutoka Cocacola

  Katika kuunga mkono juhudi kubwa zinazofanywa na Serikali katika kujikinga na ugonjwa wa hatari wa Corona (COVID -19) Kampuni...

READ MORE

Ndugai Aagiza Wabunge 15 CHADEMA Wasikanyage Bungeni Kuanzia leo

Spika wa Bunge ameagiza kitengo cha usalama cha Bunge kutowaruhusu wabunge 15 wa CHADEMA kuingia katika maeneo ya Bunge kuanzia...

READ MORE

Wema: Nt’aachika Kwa Mengine Sio Mapishi

WEMA Sepetu amesema kuwa hana wasiwasi kwenye kumridhisha mwanaume atakayekuja kuwa mumewe katika kipengele cha mapishi, kwani yupo vizuri.  ...

READ MORE

Makambo Ampotezea Vibaya Michael Sarpong

MABOSI wa Yanga mkononi wana majina zaidi ya matano ya washambuliaji ambao wanawahitaji kwa msimu ujao kwa ajili ya kuongeza...

READ MORE

Eymael: Sarpong Anatua Yanga SC

RASMI mshambuliaji wa zamani wa Rayon Sports ya Rwanda, ambaye hivi sasa yupo huru anatua kuichezea Yanga katika kuelekea msimu...

READ MORE

Tata Motors Wampa RC Makonda Ndinga za  Mil 120 Mapambano Ya Corona

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda (wa pili kulia) akikabidhiwa ufungua wa gari.     Kampuni...

READ MORE

Askofu Eusebius Nzigiwa Ateuliwa Kuwa Askofu Wa Jimbo La Mpanda

Papa Francisco, leo Mei 13, 2020 amemteua Askofu Msaidizi wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Eusebius Alfred Nzigilwa,...

READ MORE

Bunge Lapitisha Bilioni 229 Bajeti ya Kilimo 2020/21

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha jumla ya Shilingi 229,839,808,000 kwa ajili ya Wizara ya Kilimo kwa ajili...

READ MORE

Niyonzima Achimba Mkwara Mzito Yanga

KIUNGO mnyumbulifu wa Yanga, Haruna Niyonzima, amesema endapo Ligi Kuu Bara, itarejea timu yake ina uhakika mkubwa wa kucheza michuano...

READ MORE

Madiwani Kinondoni Wampongeza Mkurugenzi Kwa Kufanya Vizuri Kwenye Miradi Ya Maendeleo

    Baraza la madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni limempongeza Mkurugenzi Ndugu. Aron Kagurumjuli kwa kutekeleza miradi mikubwa...

READ MORE

Marekani Yadai Uwezekano wa Kupata #Covid19 Dar ni Mkubwa

Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umedai kuwa hatari ya kupata #COVID19 katika mkoa wa Dar ni kubwa japo hakuna ripoti rasmi...

READ MORE

Brazil: Watu 881 Wafariki kwa Covid19 Ndani ya Saa 24

  Wizara ya Afya nchini Brazil imethibitisha jumla ya vifo 12,400 kutokana na #COVID19 huku idadi ya visa ikifika 178,214...

READ MORE