×

Magazeti ya Tanzania Leo Alhamisi, Aprili 30, 2020 – (Picha + Video)

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo April 30, 2020. Ni yale ya Hard-news, Udaku na Michezo....

READ MORE

Harmonize Ataja Sababu Kumsaini Ibra

STAA wa muziki wa Bongo Fleva kunako lebo ya Konde Gang, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ ametaja sababu za kumsaini msanii mpya...

READ MORE

Beki Nkana: Ni kweli Nakuja Yanga

BEKI wa kati, Mkenya, Musa Mohammed amekiri kufanya mazungumzo na viongozi wa Yanga kwa ajili ya kujiunga na timu hiyo...

READ MORE

Corona Isitibue Masomo Yako, Jipange na Pepa Hapa

Kwa wanafunzi wote, katika kipindi hiki cha janga la corona, endelea kujiandaa na miyihani yako kupitia #GlobalTVOnline. Walimu mahiri waliobobea katika...

READ MORE

Rais JPM Amlilia Mbunge Ndassa

Rais Dkt. John Magufuli ametuma salamu za pole kwa familia, Spika Ndugai na Wananchi wa Jimbo la Sumve Mkoani Mwanza...

READ MORE

Vifo vya Corona Marekani Vimezidi Waliofariki Vita vya Vietnam

IDADI ya watu walioambukizwa virusi vya Corona nchini Marekani imeongezeka na kufikia zaidi ya Milioni moja, huku idadi ya watu...

READ MORE

Kifo cha Ndassa Spika Ndugai Asitisha Shughuli za Bunge – Video

Spika wa Bunge, Job Ndugai, leo Aprili, 29, 2020, ameahirisha Mkutano wa 19, Kikao cha 9, cha Bunge hadi kesho,...

READ MORE

‘Shinda Gari’: Wasomaji Vingunguti Wajaza Kuponi Kibao – Video

MAPEMA leo Jumatano, Aprili 29, mwaka huu timu ya maofisa masoko ya Kampuni ya Global Publishers ilitembelea maeneo ya Vingunguti...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la CHAMPIONI na Gazeti la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani ya nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Corona: Mbowe Afunguka Mazito “Tunataka Ukweli” – Video

MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Kiongozi Mkuu Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe amesema njia...

READ MORE

PM Majaliwa Agawa Abulance 50 kwa Wabunge – Pichaz

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Jumatatno, Aprili 29, 2020 amewakabidhi wabunge magari 50 ya kubebea wagonjwa yenye thamani ya...

READ MORE

Tanzia: Mbunge Richard Ndassa Afariki Dunia

MBUNGE wa Jimbo la Sumve kwa titeki ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Richard Ndassa,  amefariki dunia mapema leo Jumatano, Aprili...

READ MORE

Walioambukizwa Corona TZ Wafikia 480, Vifo 16 -Video

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema  maambukizi mapya ya ugonjwa  wa Covid-19  unaosababishwa na virusi vya corona, sasa yamefikia watu 480...

READ MORE

Rais Trump Ataka Shule Zifunguliwe, Magavana Wagoma

Rais wa Marekani, Donald Trump amesema Serikali za majimbo nchini humo zinapaswa kufikiria kufungua shule za umma ili wanafunzi waendelee...

READ MORE

Corona Uganda: Madereva wa Malori Hakuna Kulala Hotelini

RAIS Yoweri Museveni ametangaza hatua mpya za kudhibiti mienendo ya madereva wa malori yanayoingia nchini humo kutoka mataifa jirani baada...

READ MORE

Simba Yamwekea Mtego Molinga

JINA la mshambuliaji wa Yanga raia wa DR Congo, David Molinga limeingia kwenye orodha ya wachezaji wanaowaniwa na Simba katika...

READ MORE

Burundi Yaanza Rasmi Kampeni za Uchaguzi Mkuu

KAMPENI za uchaguzi wa urais utakaofanyika Mei 20, 2020,  zimeanza leo ambapo mgombea kupitia chama tawala (CNND-FDD), Evariste Ndayishimiye na...

READ MORE

Naibu Meya wa Morogoro Azikwa na Serikali

MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Loata Ole Sanare,  amesema mazishi ya aliyekuwa Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro, Isihaka Sengo,...

READ MORE

Betika Mwendo Uleule Kuwafikia Wasomaji Wake

  MAPEMA leo Jumatano, Aprili 29 mwaka huu timu ya maofisa masoko ya Global Publishershers imetembelea maeneo ya Buguruni, Malapa...

READ MORE