×

Sifa za Mwenza Mzuri Maishani

HAKIKA Mungu ni mwema na anaendelea kutupigania kwenye kipindi hiki kigumu cha gonjwa hili la COVID-19. Anatukinga na anatulinda, hivyo...

READ MORE

Tatuu ya Lulu Diva Hatari Tupu

MCHORO wa mwilini (tatuu) ya sexy lady kunako Bongo Flevani, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ ni hatari tupu na imekuwa gumzo...

READ MORE

Lyyn wa Mondi Ashinda Ofisini Kwa Kiba

HIVI karibuni zimesambaa tetesi mitandaoni kuwa msanii chipukizi wa Bongo Fleva, Irene Louis ‘Lyyn’ ameshinda ofisini kwa staa wa muziki...

READ MORE

Mhandisi wa maji Ajinyonga, Serikali Kusimamia Mzishi Yake

MKUU wa wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, John Palingo (55) amesema kuwa Serikali itasimamia taratibu za mazishi ya mtumishi wa...

READ MORE

Trump Aitishia China Kulipa FIDIA Kisa Corona

Rais wa Marekani, Donald Trump amesema huenda nchi hiyo ikaitaka China kuilipa fidia kutokana na janga la maambukizi ya Corona...

READ MORE

Mbaroni kwa Kusema ‘Nguo za Marehemu wa Corona China Zinaletwa Afrika’

JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia JOYCE KEPHAS AKYOO MANKA (31) mfanyabiashara na mkazi wa Stereo, Jijini Mbeya kwa...

READ MORE

Video: SELASINI Amlipua MBOWE – “UKIMGUSA, UNAFUKUZWA CHAMA”

 MBUNGE wa Rombo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Selasini ametangaza kuachana na chama hicho na kurejea...

READ MORE

Utata Aliyemkata Kichwa Bibi Yake

 DUNIANI si mahali salama tena kwa maisha ya binadamu! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia utata mkubwa ambao umeibuka baada ya Eliakim...

READ MORE

Mtwara: Mazishi ya DC Mmanda – Pichaz

MAZIKO ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Evod Mmanda,  yamefanyika asubuhi ya leo, Aprili 28, 2020,  eneo la Pemba...

READ MORE

Marekani: Wananchi Waandamana Kupinga Karantini

WANANCHI wa jiji la Washington DC nchini Marekani wameandamana kupinga amri ya kubaki ndani kufuatia kasi kubwa ya maambukizi ya...

READ MORE

Waziri Bashungwa Avitaka Viwanda Kutengeneza Barakoa Kwa wingi

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa (Mb) ameutaka umoja wa Viwanda vya Nguo Nchini (TEGAMAT) kuangalia uwezekano wa...

READ MORE

Wizara ya Afya: Toboa Barakoa Kabla Hujaitupa

WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, imetoa wito kwa wananchi kuteketeza barakoa baada ya kumaliza matumizi...

READ MORE

INFINIX KUJA NA BIGI MAKINI – INFINIX NOTE 7

Kampuni pendwa ya simu Tanzania, Infinix Mobility iko mbioni kuleta simu yenye hadhi ya juu-NOTE 7 na kupewa jina la...

READ MORE

Wakili Gaudiosus Ishengoma Afariki Dunia

WAKILI msomi wa FB Attorneys, Gaudiosus Ishengoma,  amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumanne, Aprili 28, 2020, katika Hospitali ya...

READ MORE

Trump: Najua Hali ya Kim Jong-un

RAIS Donald Trump wa Marekani amesema kwamba anajua hali ya Kim Joing un kufuatia madai kuhusu afya ya kiongozi huyo...

READ MORE

Rais Magufuli Amlilia Jaji Augustino Ramadhani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli Ameeleza Kusitikishwa na Kifo cha Jaji Mstaafu Augustino Ramadhan,...

READ MORE

Mbuge Koka Aikabidhi Jumuiya ya Wazazi Kibaha Mizinga Ya Nyuki

Mbunge wa Kibaha Mjini, Slyvestry Koka (kulia) akijiandaa kunawa mikono ili kujikinga na ugonjwa hatari wa Corona (COVID-19)  kabla ya...

READ MORE

GGML Yatoa Sh Bilioni 1.6 Kuunga Mkono Mapambano Dhidi Ya Corona

Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML)  imetoa Sh bilioni 1.6 kuunga mkono juhudi za Serikali kudhibiti maambukizi ya Virusi...

READ MORE

Video: Selasini Ajiondoa Chadema, Atimkia NCCR-Mageuzi

MBUNGE wa Rombo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Selasini ametangaza kuachana na chama hicho na kurejea kwenye...

READ MORE

Tanzania: Waliothibitika Kuwa na Corona Wafikia 306

  WIZARA ya Afya Zanzibar imetoa taarifa ya ongezeko la wagonjwa wapya saba walioambukizwa virusi vya corona na kufikisha idadi...

READ MORE