×

Trump Amtania Macron Kuhusu ‘Kofi la Mkewe’, Rais wa Ufaransa Ajibu kwa Hasira

Rais wa Marekani Donald Trump ameibua mjadala mkubwa kimataifa baada ya kumkejeli Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kwa kurejea tukio...

READ MORE

Video: Polisi Ruvuma Wawakamata Watuhumiwa wa Mauaji ya Dereva Bodaboda

Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linawashikilia watuhumiwa wawili, Saidi Ramadhani (28), mkazi wa Mshangano–Namanyigu, na Gamaliel Mundo (36), mkazi...

READ MORE

Video: Mbunge John Nchimbi Ajilipua Sakata la Mafuta, Watumishi Wanaotumia Magari Binafsi

Mbunge wa Jimbo la Nyasa, John Nchimbi, amechangia katika Kikao cha Tatu cha Mkutano wa Tatu wa Bunge la 13,...

READ MORE

Rais wa Iran Atuma Barua ya Wazi Kwa Wamarekani Kuhusu Vita

Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, ameandika barua ya wazi kwa umma wa Marekani akihoji iwapo vita vinavyoendelea kati ya nchi...

READ MORE

Sababu 5 Zinazowapa Argentina Nafasi ya Kutwaa Kombe la Dunia 2026

Wakali wa ubashiri wanampa nafasi ya 5 Argentina kushinda Kombe la Dunia 2026. Mashindano ambayo ayanatarajiwa kufanyika kule Bara la...

READ MORE

TFF Yatupilia Mbali Shauri la Simba, Hakuna Dosari Kwa Damaro

Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF imetupa shauri lililowasilishwa na Simba kuhusu uhalali wa usajili wa mchezaji...

READ MORE

Video: Hoja Nzito za Eric Shigongo Bungeni, Kuhusu CAG, Uchumi

Mbunge wa Jimbo la Buchosa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo, amechangia mjadala Bungeni mjini Dodoma leo Aprili 2,...

READ MORE

Vodacom Yafanya Maboresho Makubwa M-Pesa, Kuongeza Usalama na Ufanisi

Dar es Salaam, Aprili 1, 2026: Kampuni ya Teknolojia na Mawasiliano ya Vodacom Tanzania Plc leo imetangaza kukamilika kwa maboresho...

READ MORE

Video: Mbunge Sanga Ahoji Kuhusu Ujenzi wa ‘Arena’

Mbunge wa Jimbo la Makete kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Festo Sanga, ameuliza swali la nyongeza Bungeni akilenga Wizara ya...

READ MORE

SBL Yatambulisha Serengeti Premium Apple Kwa Wadau Dar

Kampuni ya Serengeti Breweries Limited (SBL) imewakutanisha wadau kutoka tasnia mbalimbali jijini Dar es Salaam katika mkakati maalum wa kutambulisha...

READ MORE

Video: Mbunge Bahati Ndingo Aibananisha Serikali Sekta ya Elimu

Mbunge wa Jimbo la Mbarali, Bahati Ndingo, amepata nafasi ya kumuuliza swali Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...

READ MORE

Benki ya Exim Yaingia Ubia wa Kimkakati na The Voice TZ

Dar es Salaam, Aprili 1, 2026 — Kadiri mahitaji ya huduma za malipo ya kidijitali yanavyozidi kuongezeka nchini, Benki ya...

READ MORE

NASA Yaandika Historia Tena, Yazindua Misheni ya Artemis II Kuelekea Mwezini

Shirika la anga za juu la Marekani, NASA, limeanza rasmi hatua mpya ya safari za binadamu kwenda mwezini baada ya...

READ MORE

Waziri Mkuu Nchemba Ajibu Maswali ya Papo kwa Papo Bungeni – Video

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Aprili 2, 2026 ameshiriki katika kipindi cha maswali...

READ MORE

Harmonize Amjibu Diamond ‘Acha Kulia na Arena’ Watanzania Wanahitaji Maendeleo – Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize, ameibua mjadala mkubwa mitandaoni baada ya kuonekana kujibu kauli iliyotolewa na Msanii nyota...

READ MORE

Kitawaka leo! Simba vs Coastal Union – Nani Ataibuka na Ushindi?

Ligi Kuu Tanzania Bara inarejea rasmi baada ya mapumziko ya kalenda ya FIFA, huku mashabiki wakisubiri kwa hamu pambano kali...

READ MORE

Makamu wa Rais Nchimbi Akutana na Pope Leo XIV Vatican – Picha

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Emmanuel Nchimbi, amekutana na kusalimiana na Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki...

READ MORE

Trump Atangaza Kuishambulia Iran Kwa Nguvu Kubwa Kabla ya Kumaliza Vita Ndani ya Wiki 2–3

Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa vita kati ya Marekani na Iran vinatarajiwa kumalizika hivi karibuni, licha ya kuonya...

READ MORE

Gates of Love Kutoa Upendo, Burudani na Ushindi Usio Wa Kawaida

Sasa ni wakati wa kuchukua safari ya mapenzi yenye burudani isiyo na kifani kupitia Gates of Love, inayokupa fursa ya...

READ MORE

Japan Yazindua Makombora Mapya Yatangaza Mkakati Mpya wa Ulinzi

TOKYO, Tokyo — Japan imeanza rasmi kutumia mfumo wake wa kwanza wa makombora ya masafa marefu katika kambi ya kijeshi...

READ MORE